The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,323
- 11,762
Kwa nini mpaka sasa mamlaka haijaachia huru mtandao wa JAMII FORUM kupatikana kwa watu wote hata baada ya tarehe ya kifungo kuisha? Kuna maelezo yoyote kuhusu swala hili?
Mjumbe
Mjumbe
Lawless stateKwa nini mpaka sasa mamlaka haijaachia huru mtandao wa JAMII FORUM kupatikana kwa watu wote hata baada ya tarehe ya kifungo kuisha? Kuna maelezo yoyote kuhusu swala hili?
Mjumbe
Ngoja wawashe VPNNataka tupate maoni kwa machawa wa humu.
Wasipopita tutawaita.
Twitter zamani X walisema ina maudhui ya ngono.. na JF sijui ...... 🤐🤐Kwa nini mpaka sasa mamlaka haijaachia huru mtandao wa JAMII FORUM kupatikana kwa watu wote hata baada ya tarehe ya kifungo kuisha? Kuna maelezo yoyote kuhusu swala hili?
Mjumbe