Nkarahacha
Member
- Oct 3, 2023
- 25
- 47
MDAU
Mimi kama mwana chama wa ccm na kiongozi mwakilishi wa uvccm ngazi ya wilaya Bukoba vijijini ,
Natoa Rahi kwa Ndg KARAMAGI kuwa tabia zake za kuvuruga Jimbo letu la Bukoba vijijini tumezichoka na zimekuwa za muda mrefu, anaunda vikosi vya kutukana viongozi wetu wa serikali na chama, kubeza juhudi na miradi mikubwa inyofanywa na viongozi kama Rais na Mbunge, Tunaomba asimame atwambie pindi yeye Yuko Mbunge alibezwa na nani ? Na kipi alichokifanya zaidi mpaka Sasa hivi aseme aoni kilichofanyika?
Kubeba mgombea na kufikia hatua ya kumfadhili pesa na kufanyisha vikao vya kuchangia pesa za kuonga kwenye wajumbe hili kumwondoa kiongozi aliepo Dkt Rweikiza kwa masirahi yake binafsi
Kukimbilia TAKUKURU kutoa taarifa za uongo hili kuchafua jina la Dkt Rweikiza .
Yote haya yanafanyika tunayajua na kuyaona
Nakuomba sana M/kiti Ccm mkoa Kagera Ndg KARAMAGI Fanya majukum Yako sio kubeba Mgombea na huku unajifanya kuwa msafi,
Sisi wa Tz Bado tunaikumbuka sana kashifa Yako ya RICHMOND tulisimama sana kukutetea na kukuombea wewe kama mwana Bukoba vijijini tukizani hipo siku utakuwa msaada wa Jimbo letu la Bukoba vijijini kama mzawa na kutuletea maendeleo Sasa hv imekuwa tofauti umekuwa mtu wa kuchonganisha na kutuweka makundi na kuwa kikwazo kikubwa sana katika ufanisi wa viongozi wetu.
Ndg KARAMAGI badilika haraka iwezekanavyo Wana Bukoba vijijini tumesha kujua dhamira Yako🙏🙏🙏