utajiri sio kitu cha kumwomba Mungu, utajiri unatafutwa hauombwi, hata shetani anakupa kafara ya kufanya na masharti mengi ya kufanya ndo akupe utajiri.. ila vya kumuomba MUNGU ni uhai, na afya, na akili timamu(akili, hekima na maarifa) kama suleimani, kisha utakuwa na utajiri wa hali na mali hata wa mademu kama suleiman hahahaha, hapa namaanisha KING SOLOMON mtoto wa king David, na sio selemani wenu huyo wa mbosso