Mdahalo wa Wazi kuhusu dhahma ya Chakula na Mafuta

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,202
218
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM

Mwalimu Julius Nyerere Chair in Pan-African Studies

P. O. Box 35091 Tel: 255-22-2410763, 255-22-2410500- 9, x.2326Cell: 255-754- 475 372

Dar es Salaam

issashivji@cats- net.com





ANNOUNCEMENT: 2ND VC”S PALAVER 10TH OCTOBER 2008 IN KISWAHILI





MBONGI WA PILI WA MAKAMU WA CHUO

10 OKTOBA 2008



MNAKARIBISHWA MNAKARIBISHWA MNAKARIBISHWA



MADA: ZAHMA ZA CHAKULA NA MAFUTA (FOOD AND FUEL CRISIS)





MCHOKOZI MKUU: JENERALI ULIMWENGU





WASHIRIKI: PROFESA HAJI SEMBOJA [ERB, UDSM]

PROFESA AIDA ISINIKA [SUA/OXFAM]

BI. SIHAM AHMED [TUCTA]

DKT. KHOTI KAMANGA [LAW, UDSM]

DKT. ADOLF MKENDA [ECONOMICS, UDSM]

DKT. NG’WANZA KAMATA [POLITICS, UDSM]





TAREHE: 10 OKTOBA 2008 (IJUMAA)





MUDA: 10 – 12 (MCHANA)



MAHALI: UKUMBI WA NKRUMAH, CHUO KIKUU, MLIMANI



Kaulimbiu ya Mbongi:

Kila mtu hutafakari; kila mtu huthaminiwa; hakuna anayethaminiwa zaidi au pungufu kuliko mwingine.
 
Last edited by a moderator:
Serikali yetu ina mpango gani kukabiliana na "Hubbert Peak" katika mtazamo wa kupunguza makali ya bei ya mafuta katika uchumi wetu na pia kuongeza ufanisi wa uchumi kwa kuuza mafuta yetu nje?

Tusije tukabaki na mifuta kibao halafu ulimwengu mzima unabadilisha system watu wanaenda kwenye alternative energy mifuta yetu "inatuozea".
 
MBONGI WA PILI WA MAKAMU WA CHUO


MCHOKOZI MKUU: JENERALI ULIMWENGUKaulimbiu ya Mbongi:

Kila mtu hutafakari; kila mtu huthaminiwa; hakuna anayethaminiwa zaidi au pungufu kuliko mwingine.


Kweli kiswahili kimekua, nlikua sijui VICE Chancelor anaitwa MBONGI WA PILI.

Hapo kwenye MCHOKOZI MKUU ndio nimeachwa hoi, maana yake ndio nini?
 
Back
Top Bottom