Mbu kama haumuamini haumpendi huo ndo ukweli!
naam, naaam bro....
ila pale kwenye kutongoza, tunatanguliza kwanza LOVE au sio?....tukishapata kitu roho inapenda,
na tukijiridhisha nacho, ndio utaona juhudi za makusudi zinafanyika kujenga TRUST.
mdahalo huu ndio ume base hapo, maana wengi wetu tunajiingiza kwenye mapenzi bila kuzingatia
hiki kitu TRUST, kwa matarajio ya kujiaminisha "labda"
- nikishamvisha pete atatulia,
- asipotulia nitamuoa nimuweke kwangu,
- asipotulia nitamzalisha mtoto chap chap,...
- kama bado hatulii, nampachika nyimba ya pili kabla hajaacha kunyonyesha...etc etc...
unaona tunapokosea? likewise kwa wanawake,...kwakuwa anakupenda lakini hakuamini,
- anategea na kujibebesha mimba kwa kujua utake usitake utabeba jukumu la familia...
nk, nk....
kinachogomba hapa ni TRUST iliyodharauliwa awali, ....na wagombanapo mafahari wawili, ziumiazo ni nyasi..
aka watoto ambao ni kizazi kitacho crave TRUST na LOVE.
...au nyie mwaonaje?
Which is more important? Being trusted or being 100 percent faithful?
Mind you, trust and faithful are not one and the same.
Kwangu mimi trust is waaaaaaay more important.
I wouldn't let a person I don't trust be a part of my life let alone love 'em and stay inlove.
Mbu kama haumuamini haumpendi huo ndo ukweli!
Elyer, nina mtazamo tofauti na huu wako. Ina maana wale ambao hawawaamini spourses wao (tena kwa vithibitisho) hawawapendi?
Hapana nadhani unawezampenda mtu ingawa humtrust lakini nadhani pioa unawezamtrust mtu usimpende au?
Trust is more important to you than faithfulness?
That wasn't the original question!!!
Neway I believe that trust should be earned...
And what a better way to do that than being faithful?
Elyer, nina mtazamo tofauti na huu wako. Ina maana wale ambao hawawaamini spourses wao (tena kwa vithibitisho) hawawapendi?
Hapana nadhani unawezampenda mtu ingawa humtrust lakini nadhani pioa unawezamtrust mtu usimpende au?
Why are you so argumentative Lizzy?
Can we love where we don't trust?
MJ1 that's where faith come in...
Wengi waliopo kwenye mahusiano na watu wasiowaamini (cheaters) na bado wanawapenda wanaishi kwa imani kwamba ''hata akicheat bado ananipenda...ipo siku ataacha...huko nje ni shetani tu hua anampitia..hafanyi kwa makusudi...muhimu ni kwamba ananihesimu etc'' ukishatoa mawazo kama haya kichwani kwa mtu anaedanganywa kila siku kuna nafasi kubwa sana ya mapenzi yake kwa huyo cheater kukoma.

Too bad wanaokubali wanaonekana kuwa wengi kuliko wanaokataa!!
......hii inawezekana tu iwapo unajikubalisha kuwa "an option" maishani mwa mwenzako!
Lizzy aksante kwa kunielewesha mamito. Perfect explanation.
Mkuu unataka ugonjwa wa moyo...lol!!!Can we love where we don't trust?