Mdahalo wa leo...!

To be TRUSTED is better than to be LOVED.

  • Strongly Agree

    Votes: 32 86.5%
  • Strongly Disagree

    Votes: 5 13.5%

  • Total voters
    37

hahh!!!...together again...

LOVE IS NOTHING BUT "A PROMISE"...please agree to disagree bana!
I agree....Mbu hata kwenye wedding vows "Promise of Love" huwa ipo.....usually people say "I promise to love you til death do us apart"
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
I am doing very well bro, thanks for your clarification Mkuu...lakini kwanza si tunaanza kufall in love na kumtamkia mtu yale maneno matatu matamu ambayo binadamu wengi hupenda kuyasikia "I love you" halafu baadaye ndio tunaanza kuangalia kama huyo mtu ni "a trustworthy person" katika mapenzi na hatimaye kusonga mbele na labda kumtambulisha kwa marafiki, ndugu, jamaa na hatimaye Wazazi, au huwa tunaanza kwanza kuangalia kama he/she is "a trustworthy person" kabla ya kuamua kuanza kupiga maspeed ili hatimaye awe mpenzi!?

...there we go kaka, promises...promises and promises......

talking about saying all those words a person wishes to hear means one's definately lying,
true or false?..why (for some people) it is a must to lie when initiating love?

does that makes a trustworthy person?

Mbu mambo! Mie ukitaka nikupende, nifanye nikuamini. Yani sababisha moyo wangu uamini kile unachokisema na kutenda ndicho hicho kitokacho moyoni mwako kweli.

Niaminishe kuwa wewe ni "wewe"...................Ukiniambia A niaminishe kweli unamaanisha A.........................uwiiiii hata sijui niongee ongee je?

Anyway muda wa Cafe umeisha naona Timewatcher inaniambia One minute remains....Ila TRUST itafanya upendo ulioanza ukue na kustawi, na kukomaa hadi Kufa. "TRUST"

you are one in a million...! thanks LD kwa somo lililotulia!
 
Ahii halafu nilisahau Shikamoo! TRUST

marhabaaaa LD, haujambo weye?! ...ukumbusho;
when you say "i love you,"
you are making a promise with someone else heart...
Try to honour it! ...---TRUST---
 
  • Thanks
Reactions: bht
love-trust.jpg

..."i trust you!"
is better than "i love you!" bcos,
you may not always trust the person you love but,
you can always love the person you trust.

both trust and love some tym can sound equally in delivering mesage but "You can always love the person you trust" to me i think it sound Clear and its happen to my patner
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
...there we go kaka, promises...promises and promises......

talking about saying all those words a person wishes to hear means one's definately lying,
true or false?..why (for some people) it is a must to lie when initiating love?

does that makes a trustworthy person?

Agreed Mkuu that....(for some people) it is a must to lie....but to others it is the truth (100% truth) about how they feel about that person (he/she)....Trust takes a long time to build, and only a few moments to be destroyed.
 
naam, naaam bro....

ila pale kwenye kutongoza, tunatanguliza kwanza LOVE au sio?....tukishapata kitu roho inapenda,
na tukijiridhisha nacho, ndio utaona juhudi za makusudi zinafanyika kujenga TRUST.

mdahalo huu ndio ume base hapo, maana wengi wetu tunajiingiza kwenye mapenzi bila kuzingatia
hiki kitu TRUST, kwa matarajio ya kujiaminisha "labda"
- nikishamvisha pete atatulia,
- asipotulia nitamuoa nimuweke kwangu,
- asipotulia nitamzalisha mtoto chap chap,...
- kama bado hatulii, nampachika nyimba ya pili kabla hajaacha kunyonyesha...etc etc...

unaona tunapokosea? likewise kwa wanawake,...kwakuwa anakupenda lakini hakuamini,
- anategea na kujibebesha mimba kwa kujua utake usitake utabeba jukumu la familia...
nk, nk....

kinachogomba hapa ni TRUST iliyodharauliwa awali, ....na wagombanapo mafahari wawili, ziumiazo ni nyasi..
aka watoto ambao ni kizazi kitacho crave TRUST na LOVE.

...au nyie mwaonaje?
 
Hayo ni sawa na mwili na miguu,huwezi kusema miguu siyo sehemu ya mwili au mwili siyo miguu!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hayo ni sawa na mwili na miguu,huwezi kusema miguu siyo sehemu ya mwili au mwili siyo miguu!

naam, naam...ila bila 'mwili' (trust,) 'miguu' (love) haina faida..!
au nimekuelewa sivyo?
 
Mbu,nilicho maanisha ni kuwa hayo yote yanakwenda pamoja,huwezi kupenda halaefu ukawa haumwamini,hicho kitakua ni kitu kingine kabisa sio upendo,hata kwenye mahusiano kama humwamini ni bora mkaachana la sivyo mahusiano yenu yatakua na matatizo kibao kama mwili usiokua na miguu.Pia unaemwamini ni lazima upendo uwepo.Unapomwamini upendo nao unakuwepo,hivyo basi vyote vinakwenda pamoja!!
 
....naam, naam...sahihi kabisa maneno yako ila ukiyatafakari utagundua mizani unazidi wapi uzito...
ukiwa na 'choice' ya kuchagua;

a] uishi na umpendae lakini humuamini au,
b] uishi na unayemuamini na kumpenda

utachagua yupi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom