Mdahalo wa katiba kati ya Lissu wa CDM na Mnyaa wa CUF umeanza!

swali la kwanza kwa wote
tumeshangazwa kwa kuambiwa kuwa majadiliano ya mswaada kuwa mara mjadala unapelekwa kwa mara ya kwanza mara mara ya pili, sasa hii ina maana gani? kuna tofauti gani kwa hizi mara ya kwanza na mara ya pili?
 
Tatizo la Lissu ni kiherehere. Anajifanya kila kitu anajua.
 
Back
Top Bottom