Elections 2010 Mdahalo wa Dr Slaa kurudiwa saa 5 usiku leo

Status
Not open for further replies.
Hii ni habari nzuri lakini mngefanya mipango matangazo hayo yatangazwe kwa njia ya redio ili hata wale wasio na luninga waweze kumsikia Dr. Slaa huu ni wakati wa lala salama kwa kila njia ya kufikisha ujumbe itumike.
 
Pia kama Pesa ipo tununue airtime ya TV siku ya jumamosi mara baada ya taarifa ya habari ya saa mbili usiku ili Dr. Slaa ahitimishe kampeni kwa kuongea na watanzania wote kwa wakati mmoja. Hapa anahitaji kuonyesha uwezo wa kuyajua matatizo ya nchi yetu na utatuzi wake. Ni muda mzuri wa kutolea ufafanuzi sera ya Elimu bure afya bure kwa kina kwa kutunia mifano rahisi ya kihesabu.

Nadhani Chadema tunawasomi wengi wanaoweza kuandaa hotuba yenye kontenti nzuri ili iwe na big impact siku hiyo. Naomba kutoa hoja.
 
I am sure tactical team ya CHEDEMA inaliona hili. Nahisi CCM lzima watajibu mapigo kuelekea mwisha wa kampeni.

Nadhani style ya suprise attackes inawayumbisha sana!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…