Mdahalo wa dowans itv leo

Mdahalo wa dowans itv leo

AMARIDONG

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2010
Posts
2,501
Reaction score
189
ULE MDAHALO ULIOKUW UFANYIKE JANA KUHUSU DOWANS UTAFANYIKA LEO SAA tatu usiku

WADAU MSIKOSE

sourse ITV
 
Jana tumesubiri na umeme ulikuwa unawaka hawakutuletea na leo tena isiwe changa la macho
 
Sitaona, maana najua leo tuko kwenye zamu ya black-out!..
Hivi hawajawasha engine no II ya Dowans ili kupunguza makali ya mgawo?
 
ULE MDAHALO ULIOKUW UFANYIKE JANA KUHUSU DOWANS UTAFANYIKA LEO SAA tatu usiku

WADAU MSIKOSE

sourse ITV

""NAMUUNGA MKONO FREEMAN AIKAELI MBOWE AGOMBEE URAISI 2015""
Tunashukuru kwa taarifa. Ila hiyo nyekundu hapo juu ondoa. Au umetumwa na ccm?
 
""NAMUUNGA MKONO FREEMAN AIKAELI MBOWE AGOMBEE URAISI 2015""
Tunashukuru kwa taarifa. Ila hiyo nyekundu hapo juu ondoa. Au umetumwa na ccm?

TULIA WEWE HUU NI MTAZAMO WANGU WEWE ULIVYOSEMA UNAMUUNGA MKONO ZITTO NANI ALIKUBISHIA AU UNAFIKIRI TUMESAHAU AU UNAFIKIRI HATUKUJUI

huu ni mtazamo wangu na kesho niko Mwanza mkono kwa mkono na DR SLAA,MBOWE,SUGU,WENJE,KIWIA,MNYIKA,ZITTO,LEMA,NA MADADA WOTE WA CDM TUTAANZISHA KIRUSI CHA MASRI NA TUNISIA KESHO NI KESHO

 
Who are the gest!!! wasije wakatuletea Tambwe hiza na makamba..
 
TUNDU LISU NAE NDANI YAANI KESHO NI SIKU YA KWANZA YA MAPINDUZI YA UKWELI,DEMOKRZSIA YA KWELI NA MABADILIKO YA KWELI

hakuna taarifa za kiintelijensia mpaka sasa
 
Waliarisha jana kwa sababu gani..?

Na hiyo sababu ya jana leo imekwenda wapi..?

..
 
Tunasubiri wakuu mtupe taarifa manake wengine umeme tunao masaa sabini na mawli ila hatuko kwenye radius ya kuyapata hayo matangazo!
 
ULE MDAHALO ULIOKUW UFANYIKE JANA KUHUSU DOWANS UTAFANYIKA LEO SAA tatu usiku

WADAU MSIKOSE

sourse ITV

MAN U na Olympic Marseile saa ngapi bro???? maana habari za dowans zimenichosha mpaka uongozi mwingine uingie.
 
NAONA kutakuwa hamna kipya.. ni yale yale tuliyozoea kuayasikia. tusubiri tuone!
 
TUNDU LISU NAE NDANI YAANI KESHO NI SIKU YA KWANZA YA MAPINDUZI YA UKWELI,DEMOKRZSIA YA KWELI NA MABADILIKO YA KWELI

hakuna taarifa za kiintelijensia mpaka sasa

Najivunia kuwa mmoja wa wanajimbo la huyu mpignaji
 
Back
Top Bottom