Kenya 2022 Mdahalo: Raila amkimbia Ruto

Kenya 2022 General Election

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,813
4,547
Kuelekea Mdahalo wa Wagombea Urais wa Kenya unaotarajiwa kufanyika Julai 29, Raila Odinga amesema hayupo tayari kushirikiana na Mpinzani wake mkuu, William Ruto. Mdahalo kati ya Wagombea Wenza ulifanyika siku kadhaa zilizopita

Sekretarieti yake ya Kampeni imesema ni wazo baya kuungana na Ruto jukwaani kwa madai Kiongozi huyo atafanya na kusema lolote ili kupata Madaraka pasipo kujali Maadili
===

Azimio La Umoja One Kenya presidential flag-bearer Raila Odinga is not willing to engage his main opponent, Deputy President William Ruto during the forthcoming Presidential Debate set for Tuesday, July 29.

Mr. Odinga’s presidential campaign secretariat said in a statement on Sunday that joining DP Ruto on stage would be “a bad idea”, terming Ruto as a leader who “will do and say anything” to seek power.

“... he has become desperate. He is a man who has no regard for ethics, public morals, or shame. That is why he has demanded that the debate not focus on corruption, integrity, ethics, and governance — the key existential questions that Kenya faces. These issues sit at the core of the Azimio campaign,” said the secretariat’s spokesperson Prof. Makau Mutua.

“Any debate devoid of these questions would be an insult to the intelligence of Kenyans. That is why we do not intend to share a national podium with a person who lacks basic decency.”

The campaign secretariat said that instead of the “traditional debate”, Mr. Odinga and his running mate in the August 9 race, Martha Karua, will hold a televised town hall in Nairobi to engage voters.

“It would be a colossal mistake to reward such a person with a national debate…. In lieu of a traditional debate, we plan to take part in a televised town hall at Jericho Social Hall in Nairobi’s Eastlands with ordinary Kenyans to offer our solutions to the challenges facing the country and common people,” said Prof. Mutua.

“(Mr.Odinga and Ms. Karua) will answer questions put to them by the people of Kenya openly, honestly, and free from what would otherwise be nothing more than empty self-serving political theater.”

On Thursday, DP Ruto’s campaign team demanded disclosure of time limits that will be allocated to various issues that will be discussed in Tuesday's debate.

In a letter to the Presidential Debate Secretariat, Hussein Mohammed, the Communications Director for Ruto's Presidential Campaign, called on the moderators to allocate equal time to issues affecting Kenyans and "equally allow candidates a fair opportunity to address them."

"To that end, we wish to know in advance the number of minutes that will be allocated to respective interventions including, but not restricted to Governance and Integrity, Agriculture, Healthcare, MSMEs and Manufacturing, Housing, the Digital Economy, Foreign Policy, and so on and so forth," reads the letter in part.

"We note with dismay that an overwhelming allocation of time was devoted to canvassing personality, political relationships and similarly trivial pursuits at the expense of the issues that Kenyans demand and deserve to know from the campaigns. We regret to observe that a crucial opportunity was therefore laid to utter waste," added Mohammed.
 
Raila hana content ya ku debate na Ruto, wameona kilichomtokea Igathe kwa sakaja, Martha kwa Gachagua debate zote UDA wame perform vizuri, Raila hawezi kudebate kwa saa moja na nusu ni lazima atafute visingizio
Nadhani issue ni ustaarabu, UDA ni matusi,ubabe,kejeli,kupakana tope.Azimio wamejiweka pembeni kuepuka uhuni.
 
Nadhani issue ni ustaarabu, UDA ni matusi,ubabe,kejeli,kupakana tope.Azimio wamejiweka pembeni kuepuka uhuni.
Nani asiyetoa lugha chafu kwenye campaign? Ili kuondokana na tabia za kwenye campaing UDA wameomba debate iwe ni issue based na sio propaganda based
 
Hapa ameniangusha, nimesubiri sana huu mdahalo halafu anakimbia, apambane, huo sasa sio uongozi...... Sisi wapiga kura ndio wenye maamuzi, yeye ajikite kwenye hoja tutamskliza, kama kweli kakwepa hili ajue amejishusha pointi maana Ruto atatumia hilo jukwaa kujipigia debe na atashusha nondo akiwa mwenyewe bila upinzani.
 
Hapa ameniangusha, nimesubiri sana huu mdahalo halafu anakimbia, apambane, huo sasa sio uongozi...... Sisi wapiga kura ndio wenye maamuzi, yeye ajikite kwenye hoja tutamskliza, kama kweli kakwepa hili ajue amejishusha pointi maana Ruto atatumia hilo jukwaa kujipigia debe na atashusha nondo akiwa mwenyewe bila upinzani.
Na bado utamchagua odinga
 
Na bado utamchagua odinga

Sijafanya maamuzi, ndio utamu wa uhuru wa nchi inayoongozwa kwenye misingi ya kidemokrasia, yaani haupelekeshwi kama mifugo au kushikiliwa akili, unaskliza pande zote mpaka dakika ya mwisho ndio ufanye maamuzi.
Hata hivyo Ruto kaitendea haki hii fursa, ametema madini hadi basi, amepata nafasi ya kuongea na mamilioni ya Wakenya na kujipigia debe mwenyewe, watu wamekaa kumskliza wakati mwenzake alikwepa......it was a very wrong move by Raila

 
Sijafanya maamuzi, ndio utamu wa uhuru wa nchi inayoongozwa kwenye misingi ya kidemokrasia, yaani haupelekeshwi kama mifugo au kushikiliwa akili, unaskliza pande zote mpaka dakika ya mwisho ndio ufanye maamuzi.
Hata hivyo Ruto kaitendea haki hii fursa, ametema madini hadi basi, amepata nafasi ya kuongea na mamilioni ya Wakenya na kujipigia debe mwenyewe, watu wamekaa kumskliza wakati mwenzake alikwepa......it was a very wrong move by Raila

Lakini wananchi watavote Raila bado atakama akufika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini wananchi watavote Raila bado atakama akufika

Sent using Jamii Forums mobile app

Hauwezi kuwasemea wananchi, kila mmoja ana kura moja na uhuru wa kufanya maamuzi tena ya siri bila shurti au shinikizo lolote, na hakuna kiongozi mwenye uhakika wa kuchaguliwa, ni uwanja wa mapambano ya hoja, sio kama Bongo ile siku sijui CCM wakikutana Dodoma na kuchagua nani wa kuwawakilisha imetosha, hata kama asipouza sera, hata apige push up tu na vioja vya kila aina, bado anakua na uhakika wa kuukwa urais.

Raila hakufanya busara, ilipaswa tumsklize, kuna baadhi yetu nikiwemo ambao tupo njia panda, lazima tushawishike mpaka mwisho nani wa kumpigia kura. Ukianza kukimbia malumbano ya hoja utakua unaonyesha udhaifu, pambana, kwanza mdahalo huwa mzuri sana maana pale hairuhusiwi simu au chochote, unajibu maswali kwa majibu yanayokutoka kichwani moja kwa moja.

Ruto katumia hiyo fursa vizuri sana aki ya nani, labda Raila aombe siku yake mwenyewe basi, ahojiwe kihivyo tumsklize.
 
Back
Top Bottom