PARAGEcTOBORWA
Member
- Nov 20, 2011
- 79
- 7
midahalo ya Tz haisaidi chochote hamna Action
Mwana jF kama unataka kuwa mmoja wa wale waananchi kwenye mdahalo basi nitafute kwa kwa namba hii 0715999250 nami nitakupa kadi .Utatakiwa kuwa ukumbini saa kumi na nusu kamili na si zaidi ya hapo.Milango itafungwa kumi na moja kasoro dakika 5 ngoma inaanza .Nitafute upate kadi yako asante .
Mbona hakuna chochote hadi sasa? Au wameahirisha? Haya ngoja tuvute muda kidoogo
Mkuu Halisi Tundu Lissu atakuwa ndani ya nyumba anajenga hoja ya kila kitu kilicho tokea huko Dodoma na labda ku suggest the way forward .CUF watakuwa ndani ya ukumbi kiongozi wao kukabiliana na Tundu na CCM wamechomoa .Itakuwa LIVE kwenye Star TV na Mwakitwange kama sijakosea jina lake ndiye muongoza mjadala .Naamini nimesha wajibu vyema ila hili tangazo liko hapa hapa lililetwa na mwana JF .Asanteni sana
Mi nashangaa CCM wanakimbia na bado kuna mijitu hapa jamii forums inawatetea,cjui inafikir kwa ku2mia mgongo?ritz,rejao,mzee,mafilili shame on u,kazi yenu ubwabwa tu..