Mwana jF kama unataka kuwa mmoja wa wale waananchi kwenye mdahalo basi nitafute kwa kwa namba hii 0715999250 nami nitakupa kadi .Utatakiwa kuwa ukumbini saa kumi na nusu kamili na si zaidi ya hapo.Milango itafungwa kumi na moja kasoro dakika 5 ngoma inaanza .Nitafute upate kadi yako asante .

Mkuu Halisi Tundu Lissu atakuwa ndani ya nyumba anajenga hoja ya kila kitu kilicho tokea huko Dodoma na labda ku suggest the way forward .CUF watakuwa ndani ya ukumbi kiongozi wao kukabiliana na Tundu na CCM wamechomoa .Itakuwa LIVE kwenye Star TV na Mwakitwange kama sijakosea jina lake ndiye muongoza mjadala .Naamini nimesha wajibu vyema ila hili tangazo liko hapa hapa lililetwa na mwana JF .Asanteni sana
oya mdahalo unahusu nini weka kitu open isije ikawa vikao vya freemason...
Mkuu Halisi Tundu Lissu atakuwa ndani ya nyumba anajenga hoja ya kila kitu kilicho tokea huko Dodoma na labda ku suggest the way forward .CUF watakuwa ndani ya ukumbi kiongozi wao kukabiliana na Tundu na CCM wamechomoa .Itakuwa LIVE kwenye Star TV na Mwakitwange kama sijakosea jina lake ndiye muongoza mjadala .Naamini nimesha wajibu vyema ila hili tangazo liko hapa hapa lililetwa na mwana JF .Asanteni sana
swali zuri sana...tusije tukapoteza vocha kukupogia kumbe kadi zenyewe hatuna uwezo wa kuzinunua...weka hili swala la gharama open......Kadi zinapatikana bure au?
Wakuu nimepewa nafasi 20 kwa kuwa mie mzee wenu hapa JF so as far as I know kadi ni bure sitamkiwa kiingilio na nime ambiwa mwisho wa kuingia ukumbini na wanatakiwa watu 200 mie nimepewa nafasi za upendeleo 20 na ni bure kwa heshima yangu so tuonane huko huko but confirm .
Itaonyeshwa na kituo cha STAR TV............Luninga nafikiri hiyo ya kwako ya sony ya kichina ya inchi 17 itaonyesha pia.je mdahalo huo utaonyeshwa live kwenye luninga?ipi
je mdahalo huo utaonyeshwa live kwenye luninga?ipi