CRAP!
Kama kawaida yako.
Hoja zilizoongelewa siyo za msingi mpaka lipumba awepo?
Unatuuliza sisi hapa jukwaani kwani ndio tulioandaa huo mdahalo?
MAGGID umefilisika unasahau hata namna ya kusaka chanzo cha taarifa. watafute walioandaa uwaulize huo upupu wako kisha uje hapa jukwaani kueleza walivyokujibu.
Mbona husemi kwamba kwa nini kila siku kwenye channel ten kunakuwa na nusu saa ya kumnadi KIKWETE baada ya taarifa ya habari? hiyo kwako sio ishu bali ishu ni Dr. Slaa kuandaliwa mdahalo?
Wewe ni mvivu wa kufikiri na nilishasema kwamba HUNA UTAIFA na ni MTU HATARI SANA KWA USALAMA WA NCHI. naongea kwa nia njema na si kuwa nakuchukia bali nachukia the way ulivyo MTUMWA wa watawala wasio na uwezo wa kuongoza nchi.
Lakini muda haujaisha, andaa mdahalo kwa wagombea wengine tusikilize wanavyonadi sera zao. chukua hatua unapoona mambo hayaendi sawa siyo unabaki kulalama kama chekechea
Kaka Majid,lakini si nimesikia kwamba wagombea wengine wataitwa pia ili KUMWAGA sera zao,manake ule sio MDAHALO ki ukweli,lakin fursa nzuri kwa wagombea kusikika watatufanyia nini, Jana mwanawane Dr. WAUKWELI katema vitu mpaka nikawa naona muda hautoshi,acha tumsikie Dr. KINANA nae atawaambia nini wananchi ikifika zamu yake.
Njilembera na Wengine,
Nimechokoza mjadala huu kwa nia njema kabisa. Tuwekane sawa, kwamba kuna tofauti ya embe na chungwa, kwa mwonekano na ladha pia. Kilichokuwa kikitangazwa kabla ya jana ni " Mdahalo". Tulichokiona si mdahalo, na sisi ni watu wazima. Wasije wajukuu zetu wakaja kutushangaa watakaposoma historia. Watahoji upeo wetu wa kufikiri . Kinachoonekana hapa ni ukweli, kuwa wa jana haukuwa mdahalo. Swali linabaki, jana tuliona nini? Mazungumzo, mahojiano au PR? Hivi set up ya mahojiano inatakiwa iweje ili yaitwe mahojiano? Na kwanini aliyeendesha shughuli ile alitambulishwa kama ' Mwenyekiti wa Mdahalo?". Hebu 'Great Thinkers ' tuumize vichwa tuweke hili sawa.
mengi in nature mbaguzi na hakuna sumu mbaya kwa taifa kuliko ubaguzi
Ndugu Zangu,
Jana tumesikiliza mdahalo, au labda mazungumzo au mahojiano kati ya Dr Slaa ( CHADEMA) na Rosemary Mwakitwange. Mahojiano yaliyoruhusu wengine kuchangia kwa njia ya simu pia.
Tunawapongeza walioshiriki kufanya jitihada zile. Ilitoa fursa kwa sisi wapiga kura kumsikiliza Dr Slaa. Hata hivyo, pungufu kubwa kabisa lililoonekana ni namna waandaaji walivyoandaa mdahalo wa upande mmoja bila kuwashirikisha wagombea wengine wa Urais waliopitishwa na NEC. Maana, ni vema pia tukatofautisha maana ya mdahalo na mahojiano. Kama yale ya jana yalikuwa ni mahojiano tu, hakuna tatizo kwa mgombea mmoja tu kuhojiwa. Lakini kama unaitwa mdahalo, basi, tujadili maana ya mdahalo.
Kama ni mdahalo, basi, ingekuwa ni vema na busara kwa wagombea wengine wa Urais kushiriki. Bila shaka, wagombea wengine nao wana haki za msingi za kupewa nafasi ya kuelezea sera zao na kujibu maswali ya wapiga kura. Hata kama chama tawala, CCM kimeweka wazi kuwa mgombea wao hatashiriki mdahalo, lakini hatujasikia vyama vingine vitoa misimamo kama hiyo.
Wengi wetu tungependa kuona wagombea wengine wa Urais nao wakialikwa, hivyo basi, kupewa fursa ya kuelezea sera za vyama vyao na kuulizwa maswali. Kungetoa fursa ya wagombea hao kushindana kwa hoja pia. Labda kama kuna maelezo ya kuwa wagombea hao walialikwa lakini hawakuitikia mwaliko wa kwenda studioni. Au kuwa gharama za muda wa kurusha hewani mdahalo ziligharamiwa na chama cha mgombea aliyefika kwenye mdahalo/mahojiano. Kama sivyo, basi, waandaaji watakuwa hawakuwatendea haki wagombea na wapiga kura kwa ujumla wao.
Maana, tukianza sasa kujenga tabia ya kubagua wagombea itakuwa ni jambo la hatari sana. Ikumbukwe, tangu Uchaguzi Mkuu wa 1995, tulianza kujenga misingi mizuri ya wagombea kupewa fursa sawa. Kwenye uchaguzi wa mwaka 1995 wagombea wote wa Urais walialikwa kwenye mdahalo uliofanyika kwenye iliyokuwa Kilimanjaro Hotel. Kama inavyoonekana pichani, kulikuwa na Profesa Lipumba, Augustino Mrema, Benjamin Mkapa na Bwana Cheyo. Historia ni mwalimu mzuri. Tujifunze.
Maggid,
Iringa, Jumapili, Oktoba, 24, 2010
Bw. Majjid,Ndugu Zangu,

nasikia hapa JF sasa hizi ukiandika neno CRAP unaweza kula ban, ila kitu kama mtu kamwaga CRAP sijui itabidi tutumie neno gani tena manake ukiandika neno CRAP unaweza ukawa na hali mbaya
watu wengine bwana! wa kwanza kuita wenzao wapumbavu halafu wako tayari kwenda off topic kwa mambo yasiyohusumengi in nature mbaguzi na hakuna sumu mbaya kwa taifa kuliko ubaguzi
Mkuu what happened yesterday ni mdahalo period, soma definition kwenye kamusiMaggid!!
Najua na ninaamini hizi habari za huu mdahalo ulishaziona hapa JF siku nne kabla.
Set up yake ilijulikana Tangu Mwanzo, Kwanini hukukosoa Set up yake kabla ya Mdahalo wenyewe.
Umekosa La kukukosoa Katika yale aliyoyaongea Slaa ukaamua Kukosoa Set up ya ule mdahalo.
But nashukuru Nimejua wewe ni m2 wa aina Gani. Hongera sana, nimeona kule kwenye Kablogu kako kuwa jana Kikwete alikupungia mkono Pale Mikumi. I really dont think wheather this is such an important information.
Na mahojiano maanake nini?@Maggid... nini maana ya mdahalo kwa kiswahili sanifu??
thansk Maggid mdogo... i would appreciate an answere from Maggid but at the same time kwa maana fupi mahojiano ni maongezi ya hoja yanayojumuisha mhoji na mhojiwa with focus on specific hojasNa mahojiano maanake nini?