Gottee
R I P
- Sep 7, 2008
- 174
- 2
Kwa mtu ambaye amekosa kuliona lile tukio la jana amepitwa na kitu muhimu. Jamani ukweli ulio wazi Slaa ndiye rais wetu hata kama wataiba kura. Maggid na wewe andaa mdahalo wa Jk na Makamba. Nina imani CCM hawakupata usingizi ndio maana wameanza kuwatuma akina tambwe hiza wao tamka maggid
CRAP!
Kama kawaida yako.
Hoja zilizoongelewa siyo za msingi mpaka lipumba awepo?
Unatuuliza sisi hapa jukwaani kwani ndio tulioandaa huo mdahalo?
MAGGID umefilisika unasahau hata namna ya kusaka chanzo cha taarifa. watafute walioandaa uwaulize huo upupu wako kisha uje hapa jukwaani kueleza walivyokujibu.
Mbona husemi kwamba kwa nini kila siku kwenye channel ten kunakuwa na nusu saa ya kumnadi KIKWETE baada ya taarifa ya habari? hiyo kwako sio ishu bali ishu ni Dr. Slaa kuandaliwa mdahalo?
Wewe ni mvivu wa kufikiri na nilishasema kwamba HUNA UTAIFA na ni MTU HATARI SANA KWA USALAMA WA NCHI. naongea kwa nia njema na si kuwa nakuchukia bali nachukia the way ulivyo MTUMWA wa watawala wasio na uwezo wa kuongoza nchi.
Lakini muda haujaisha, andaa mdahalo kwa wagombea wengine tusikilize wanavyonadi sera zao. chukua hatua unapoona mambo hayaendi sawa siyo unabaki kulalama kama chekechea