Mdahalo huru: Team android na Team iphone tukutane hapa

Bullshit

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
1,366
Reaction score
1,638
Binafsi napenda kutumia simu ya android kwasababu inanipa uhuru wa kufanya vitu vingi kuliko simu za iphone

Team iphone ni kama wamewekewa limit ya kutumia simu ila team android full kujiachia.

Napenda sana muonekano wa ndani wa simu za android ni bomba sana kuliko iphone.

Team android tunaweza kufanya mambo mengi na simu kuliko iphone mf:kuonganisha youtube ya simu na tv yako.kubadili muonekano wa ndani.ku download files na mambo mengi,kutumia apps zozote unazotaka hata ambazo hazipatikan kwenye play store,kubadili spare,format simu nk...
Haya mambo kwenye iphone utayasikia tu.

wengine ongezeeni nyama

Karibuni
 
Tatizo baadhi ya watu wanaamini iPhone ni ghali zaidi kulinganisha na simu nyingine.
Hivo mtu akiwa na iPhone kayapatia maisha.
Hawajui kwamba baadhi ya Galaxy phones na nyinginezo za Android zina gharama kulingana na kuzidi iPhones.
 
iPhone sio simu hata kidogo ina limitation nyingi mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mm nina samsung A90 bei 1.8 niambie iphone yako sh ngapi
Tatizo baadhi ya watu wanaamini iPhone ni ghali zaidi kulinganisha na simu nyingine.
Hivo mtu akiwa na iPhone kayapatia maisha.
Hawajui kwamba baadhi ya Galaxy phones na nyinginezo za Android zina gharama kulingana na kuzidi iPhones.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko kujiachia ni kwa watoto wasio na kazi za kufanya.

Mtu serious na maisha hawezi kuhangaika na kuremba simu.

Natumia android kama simu ya pili ila sioni umuhimu wa kujiachia.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kujiachia kimatumizi.jua simu saivi ni biashara,inakuwezesha kufanya mambo mengi ya kibiashara.android hata ikiaribika spare utatengeneza,ina apps nying zitakuwwzesha kufanya mambo mengi kuliko iphone.kwenye android unauwezo wa kufanya mambo meng kuliko ukiwa iphone
 
Back
Top Bottom