project planner
JF-Expert Member
- Jul 8, 2019
- 1,170
- 1,562
Hii dhambi naijutia Sana ya kusema elimu Ni bora kuliko pesa niliifanya hii dhambi nikiwa shule nasema hivi baada ya mungu Ni pesa
Dogo bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi we kuwa mjinga mtaani hujasoma na hiyo bahati hupati ndio utajua maana ya ignorance kwa taarifa yako Laiser amekwenda shuleIshia hapo hapo ndugu mtoa maada, hii dhambi ya kusema elimu ni bora kuliko pesa nilishaitubu baada ya kurubuniwa na mwalimu wangu wa somo enzi zile just imagine unapoteza miaka ya 18 kutafuta elimu ambayo inakugharimu fedha,muda na afya yako ila anatokea Laizer toka machungani anaokota mawe mawili...mawili tu ndugu mtoa mada kisha anatajirika na wewe unaenda kwake na vyeti vyako kumuomba kazi!
Wewe kama kwenu mnaona uchawi ndyo elimu ni sawaHata uchawi ni elimu mkuu!
Kuwa specific unazungumzia elimu ipi..?[emoji28]