na wewe fanya za mkahawani usije kosa mali yako aisee
Mwee,sithubutu ata kwa mtutu....
nitawezea wapi kwetu hakuna mikahawa?
wewe mkanyage onesha ulijali wako,ukimuacha atakudharau sana
kama unajua ile ladha ya ile kitu utajifunza tu
Weeeeeeeeeeeeeeeeee kaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mbali na watoto.
Shiiiiii,usimshtue atankosesha mauhondo yangu ya mkahawan buree
ngastuka machale kundesa