wakyagara wakinyora
JF-Expert Member
- Jan 1, 2013
- 735
- 286
wanajamvi amani kwenu,
Kuna huyu mdada anafanya kazi NMB (kaumbika,yuko sexy ile mbaya,msomi flani hivi afu matawi kiaina pia ni mpole sana)tumepanga nae nyumba moja hapa mjini.
Kwa jinsi nyumba yenyewe ilivyo(imejengwa muundo wa "U" dirisha la sitting room kwangu (sebuleni) linapakana na chumbani kwake.
Yaani kila mmoja wetu anaweza kuchungulia chumba cha mwenzake kama akifungua pazia.Kinachonipa wakati mgumu ni kelele anazopiga wakati akifanya mapenzi na boyfriend wake,kelele za mahaba ambazo unaweza kuzisikia hata ukiwa umbali wa mita 50 kama kukiwa hamna kelele zinazoingiliana na hizo.
Yaani wakishaingia tu ndani na huyo mtu wake tena mapema tu saa 12 za jioni au saa moja mambo yanaanza,eneo zima linakuwa ni kelele zake.
Pia huwa anaachadirisha wazi wakati anafanya shughuli zake hizo.Yaani huyu mtoto wa kichaga mara aseme hivi,mara vile.kwa ufupi ni kelele za mahaba mwanzo mwisho.
Siku za jumapili saa 4 asubuhi tu,yaani eneo zima halitamaniki.Napata wakati mgumu sana ninapokuwa na wageni home kwangu.Wakati mwingine wanaweka mikanda ya ngono tena kwa sauti ya juu kabisa.
Yaani ni kero tupu,nilisha lalamika kwa mama mwenye nyumba ili aongee nae kistaarabu tu,yaani awe hata anawasha redio kwa sauti ya juu lakini wapi.Mama mwenye nyumba nae anadai huwa anazisikia.
Hata kama ni raha au utamu basi wa huyu dada umepitiliza.
HOFU YANGU NI SIKU NITAKAPOTEMBELEWA NA WAZAZI WANGU AU BABA NA MAMA MKWE SIJUI ITAKUWAJE.PIA NAPOKUWA NA WAGENI MANAKE ILE MIDA YA CHAKULA CHA JIONI WAO NDIO MAMBO YANAANZA.
NIFANYEJE MAANA NAONA HATA AAMBIWE HAJIREKEBISHI?