Mdada wa kazi za nyumbani

Mdada wa kazi za nyumbani

Risk manager

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
8,807
Reaction score
17,359
Habari zenu wanajukwaa . Direct kwenye maada bila kuwachosha.

Ni nahitaji Mdada Wa kazi za ndani. Nyumba haina mototo mdogo. Yaani mdogo kabisa yuko fomu kwani. Kazi ni za kawaida za nyumbani.

Ina baba, mama, watoto wapo watatu, mkubwa yupo chuo, anayemfuata yupo kidato cha tano. Nahitaji Mdada Wa kuwa anaachiwa nyumbani na kuandaa chakula, usafi Wa hapa na pale. Ataishi kwa mwajiri wake.

Eneo la kazi ni Mwanza Bugarika. Umri kuanzia miaka 14 minimum.
Mshahara tutapatana.

Aliye ama anayemjua MTU Wa kunisaidia ama kuniunganisha na huyu MTU please msaada.

Familia ni ya kikristo ila MTU ana Uhuru wake Wa kuabudu wakuu.

Ahsanteni kwa msaada mnaojiandaa kunisaidia.
 
Miaka 14 ni kutumikisha mtoto mdogo na ni kosa kisheria,kuwa na huruma.
 
Namba yako napiga naambiwa haipatikani mkuu.
 
Mkuu miaka 14 uy anatakiwa kuwa darasani.heshimu Sheria Kaka na pinga ajira za utotoni ili keshow yetu iwe ya taifa zuri
 
Mchukue huyo huyo wa form one maana nae ana 14yrs minimum.

Watoto wa wenzio wapo shule pia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom