Mkuu huyo ni mke wangu achana naeHabarini wadau....leo mchana niliimgia azania bank tawi la dodoma...aisee kuna mdada mmoja yuko hapo mweupe mzuri hv mfupi hivi bank teller..mtoto wa ukweli sana...kama kuna mtu anamjua jamani...msaada wadau
Umeona eeeeh.Jamaa kafeli badogo tu ,business card ingemaliza ishu zake zote
[emoji767]101-03-821.M|T|C
PLEASE BE A BIT MATURE SIR, this is not a forum where you ask such issues or things, STLYE UPHabarini wadau....leo mchana niliimgia azania bank tawi la dodoma...aisee kuna mdada mmoja yuko hapo mweupe mzuri hv mfupi hivi bank teller..mtoto wa ukweli sana...kama kuna mtu anamjua jamani...msaada wadau
Mi nikajua Daslam kumbe Dodoma ayaaa.Habarini wadau....leo mchana niliimgia azania bank tawi la dodoma...aisee kuna mdada mmoja yuko hapo mweupe mzuri hv mfupi hivi bank teller..mtoto wa ukweli sana...kama kuna mtu anamjua jamani...msaada wadau
Nilienda na milioni mbili elfu kumi kumi tupu na nilizihesabu zaidi ya mara 3 zikawa fresh sikuzipanga kwa laki laki nikaweka pamoja nikafunga ruber band nikasokotea kwenye nylon nikaenda bank nikaandikisha acount namba yangu na majina nikaakaa kwenye folen mpaka ikafikia zam yangu nilipofika pake mapokezi nikampa karatasi na hela nikafungua ile nylon na zile ruber band nikampa akapokea akawa kama anazipigia pigia pale mezani kama anazishawazisha zilingane alafu akatulia akawa kama kuna kitu anashangaa nyuma yangu yani kama anaangalua wale nilowaacha kwenye foleni mimi si nikageuka kutizama ***** pale hakuchelewesha akadondosha hapo niti 3alafu ile hela akaweka kwenye mashine ya kuhesabu akaniambia bado hela mi nikamwambia kivipi akasema bado 30 huwezi amini nilimkalipia hadi akaja mama mmoja nadhani ni mkubwa wao nikamwelezea kumbe ule mchezo niliushtukia nikamwelezea yule mama niko tayari tuangalie camera yaani nilikomaa hadi akanywea..
Ni story ndefu mkuu siwezi imaliza saa hivi
Mie hapo ningeacha kadhaa km sina B.C ningeandika namba ktk zile slip zao ,kifupi nisingefeli ,yy ndio anifelishe/anitoseUmeona eeeeh.
Kapigwa na butwaa akashindwa kujiongeza
[emoji252] [emoji479]
Sio 2006 mwaka juzi tuu 2016 hapailikua mwaka gani hiyo mshezi alikuibia kizamani saaana itakua ilikua chini ya 2006??
hahahhaha basi ndo alikua ameanza kazi week hiyoSio 2006 mwaka juzi tuu 2016 hapa
Dalili Ya Udomo Zege....Kumuona Kamuona Yy Sisi Hatujamuona Hata Tungemuona Tungejisevia Tuu!!Yaani umemwona live ukashindwa sisi unataka tukusaidie nini tena
Binafsi kanikera sana,kidume mzima unafeli kingese hivyo
Acha woga wewe.Mbinu mkuu....au niombe number yake ....tatzo pale mwenzake atasikia
Hahahaha[emoji23] kweli kabisa mkuuAu ktk ile slip angeandika hata namba, mm domo zege lkn chance km hz huwa nazitumia ,km kunipiga kibuti anipige yy ila mm ktk eneo langu nakua nishamaliza
[emoji767]101-03-821.M|T|C