Nashindwa kumuanza....nipe mbinu mdau
Yaani umemwona live ukashindwa sisi unataka tukusaidie nini tenaHabarini wadau....nimeingia hapa azania bank tawi la dodoma...aisee kuna mdada mmoja hapa mweupe mzuri hv mfupi hivi bank teller..mtoto wa ukweli sana...kama kuna mtu anamjua jamani...msaada wadau
Habarini wadau....nimeingia hapa azania bank tawi la dodoma...aisee kuna mdada mmoja hapa mweupe mzuri hv mfupi hivi bank teller..mtoto wa ukweli sana...kama kuna mtu anamjua jamani...msaada wadau
Mbinu mkuu....au niombe number yake ....tatzo pale mwenzake atasikiaYaani umemwona live ukashindwa sisi unataka tukusaidie nini tena
HanaAisee mkeo ana ID yako na yumo humu anakupimia tu.
Aisee mkeo ana ID yako na yumo humu anakupimia tu.


***** komenti la kitabefresh mkuu .....aisee mtoto wa ukweli....sana amejazia...nahic alikua darNa unapozitoa hizo hela hakikisha kuwa unaongeza noti ka 4 hivi kwenye kila fungu halafu ujifanye ka hujui kuzihesabu. Baadaye mwombe namba yake ili hata ukimtuma mtu kukuwekea umtume kwake straight. Hakika utapate hiyo namba yake tu
Mtoto wa ukweli mkuu....wanaume wa mikoani
Nimeenda leo mchana...bank gani ipo wazi saiz??
mbona maelezo yako hayaendani na wakati uliyopita?Nimeenda leo mchana...
Fanya kwanza maamuz ya kuchukua namba mbinu huwez kosaNashindwa kumuanza....nipe mbinu mdau
Wee nenda hapo kaweke hela alafu toa noti moja mpe mwambie kunywa soda fanya mpango umchekee chekee omba namba kabla ya kuomba namba msifie jifanye kumwambia umependa huduma yake ila chonde chonde wakati unampa hela yako usiangalie pembeni dadake baadhi huwa ni wezi kishenzi mimi kuna mmoja alinifanyia zengwe nikamkomalia hadi kaomba msamahaMbinu mkuu....au niombe number yake ....tatzo pale mwenzake atasikia