Mdada unayetaka ndoa, soma hapa

Mm napenda mwanamke awe huru, ila Uhuru usiopitiliza, mkweli, ajiamini,
Kuhusu mavazi mm sina tatizo avae anavyotaka, kuhusu matumizi ya vitu anayotumia sina shida ili mradi asizidishe, awe feki awe orijino mm sina tatizo ili mradi awe na mapenzi ya kweli kwangu........


Kuolewa ni maamuzi na matazamo wa mwanaume alivyovutiwa kutoka kwa mwanamke.

Mfano:
Mnasema mwanaume mnataka wanawake og na sio feki
Mbona kina Beyonce, kardashian, blac chyna ni feki ila bado wameolewa hamna natural hata chembe kuanzia nywele zao, vipodozi zao, ngozi zao,
Its depends na muoaji mtazamo wake.


Napita tu.......?????
 
Ndoa za ku-pretend ni nyingi sana! Ndo maana,hazichukui muda zinasambaratika...
 
Mleta mada umeoa/Umeolewa??
Sku iz kila mtu ni mshaur wa wanawake juu ya ndoa, Utaskia mambo ya kufanya ili usiachike, mambo ya kuzuia mume asichepuke,Mambo ya kufanya ili uolewe, Na hii umeleta, asa ni kweli wanawake ndo wako na shida kiivo kuolewa? Mungu ndo mpangaji wa wa hizi mambo hazina ujuzi kama ipo itawepo tu ye ndo Muamuzi
 
Mkuu nimezipenda point zako, nikipata wa hivi sichukui round naoa. Kuwa natural nako ni kujiamini pia. Ukijiona wewe ni fake fake ujue hujiamini kabisa.
 


Mwanaume mwenye hekima huangalia sifa za Msingi, Pia huepuka wanawake tajwa hapo kuwa Mke wa familia yake. Ikumbukwe kuwa Wanaume halisi hupungua kwa kadri siku ziendavyo halikadhalika wanawake halisi..

Hivyo mwanamke anayezungumziwa hapa ni Wife material.
 
" Upendo , ukarimu , kujali" hizi ni sifa kuu kwa binti anaetaka ndoa. vingine tutarekebishana.
 
Kuoa au kuolewa hakuna formula, huyo aweza kuwa your dream wife. Ajabu ni kuwa choices za watu zinatofautiana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…