Mdada unaogaje?!

Hakuna cha ndoto mbaya ni upwiru mshindo tu.
 
Why umuigizei mimi nakuchana
 
Naona umepiga come back baada shambulio la min -me πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Beki tatu atasema alikuwa anaishi kwenye nyumba kuna shoga πŸ˜‚
Bora hata angekuwa anamsumbua afu beki tatu alete zile zao za nataka sitaki afu jamaa aachane nae ili iwe kama sababu ya kutokumla.
Hamna kitu kama icho mpe heshima yake atakama ni bek tat
 
Naenda kwa Dada yangu..nimuonyeshe huu ujumbe na mchumba mtarajiwa...

Points..

1.Afu tatu ikimshinda kuna limao.
2.Uso usiwe kama pumbaaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜„
3.Kwa bibi kusiwe na nywelee..kama yule moja mpaka unasaka pa kupitaπŸ˜€πŸ˜€πŸ™‚πŸ™‚

Ubarikiwe,pepsi itakuhusu...
 
Ahhah hapana kweli tena dada wakaz siwezi ilo limenishinda
Watu tulishwahi mpa bi mkubwa route ya kwenda kupumzika mahali siku 2 na hela juu...kumbe kijana nina mipango ya kumla HG, mbaya zaidi Bi Mkubwa nasema nakuamini wewe kuliko wadogo zangu wanaonekana vipanga kumbe mi ndo wembe hatari zaidi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…