Mdada unaogaje?!

Lipia tangazo
 
Kwa binadamu yeyote, kama husafishi ulimi, changes are unanuka mdomo. Shida ni hutojua, na watu wanaweza wasikwambie. Your tongue should be pinkish, ule weupe katikati ni uchafu. You don't need fancy stuff, hata mswaki tu unafanya kazi hiyo vizuri kabisa.
 
Huyo ni kama gari, aanze kulipia kwenda car wash kuoga..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…