Mdada unaogaje?!

Siwez kuelezea sana mana Mm sio mwanamke
Bado hujakutana na mwanamke kakuvalia bukta la Manchester United chumbani!
Anavua nguo unakutana na bonge moja la pensi nyanya!!
Wengine chuppi zinawabana hvo wanaamua kuvaa mapensi ili vinena vipunge upepo ๐Ÿ˜…
Wanaume shikamooni, maana mnakutana na vibarua vizito sana huko uwanjani!
Ila mmo tu ๐Ÿ˜›!

Lamomy unalizungumziaje hili la kuvaa bukta la jezi ndani ya jeans๐Ÿ˜…!
Wanawake wengine wanatudhalilisha tu jamani!
Inabidi tutoe darasa siku moja!
 
Unakuta chupi buku anakujia kavaa kachupi cjui Cha mwaka Gani kamepaukaa lakin kichwani kaweka nywele za elfu 30
Chupi hata kama imepauka, kama ni safi wala haina tatizo, tatizo je ni safi hio chupi, haina ramani ramani?
Pale katikati ina rangi yake ya asili?
Kuna wanaume wengine akikununulia chuppi, atataka uivae hiohio kila mkikutana mpaka ikuchanikie kwake!

Poleni mpwa.
Mnakutana na mengi sana
 
Mapenzi kwa ujumla ni uchafu, mrembo hapo yupo sahihi kuandika hvy.
๐Ÿคช
Kwa mara ya kwanza leo nimeitwa mrembo.
Ila mapenzi kiujumla ni uchafu ndio maana tunaambiwa tuwe na mpenzi mmoja mwaminifu ambaye mnaweza fanya nae kila aina ya sarakasi.

Mie nina wangu huyo ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ, hadi 'one cup' tunafanya!
We huogopi?๐Ÿคฃ
 
๐Ÿค

Ukiwa mwanamke bc n lazima uwe mrembo, kama n mwanamke afu sio mrembo bc hilo n tatizo.

Em nipe maelezo ya hy ya one cup, Nataka Na mm niifanye siku akizaliwa wangu wa kufanya nae uchafu
 
Dah bc mm bado sana kuhusu wanawake, sijawahi kukutana na wanawake wa namna hy labla kwa sababu Mm sio tombatomba, hua nakutana na suruali + chupi au sketi + chupi tuu ๐Ÿ˜Ž hao wanaokutana na vikaptula vya jezi nawapa pole ๐Ÿ˜‚
 
Wakikutana na kiharufu cha samaki wanavaa chupi zao kichwani kama helmet ๐Ÿ˜‚
Mm sijawahi kukutana na mwanamke anayenuka ila nshawah kukutana na mwanamke sio mtamu ikabidi nmkimbie mana nlkuwa sifurahii tendo ๐Ÿ˜Ž
 
Mbona kama huu mzigo nshaujua n wa aina gani ๐Ÿ˜‚

Dah wanawake shikamooni, marhaba ๐Ÿ™Œ

Lamomy vp bila shaka mzigo wako utakuwa n mweusi ๐Ÿ”ฅ
 
Mtu unamuheshimu vizuri tu akivua jeans ndani ana pensi la yanga ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Jamani ๐Ÿ˜!
Asa sie sijui kosa letu lilikuwa nini siku ile!!
Wacha tutolewe baru๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Waliwaambia modโ€™s wafunge uzi ๐Ÿ˜น
Mi bhana nitakuja pm uendelee kunifunda ๐Ÿคฃ
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น khaaaaaaa!!!

Ila Madame mbavu zinauma, umeongeza nini?? ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ