Mdada, ukipata mpenzi Mgande

Umeshakua manyakuuu nawee,?? Sitaki mambo ya nakaaya na Nancy kumgombania Luca

Akhu ni furaha za ndinga emoji ikajichanganya


Mimi si nishakwambia namtaka boss wa PSG aje aiokoe team yenu ya makolo fc isishuke daraja
 
Akhu ni furaha za ndinga emoji ikajichanganya


Mimi si nishakwambia namtaka boss wa PSG aje aiokoe team yenu ya makolo fc isishuke daraja
uduguu nimechekaa nimejambaa "mbuuuu"
 
Fitna kumbe hatujazimaliza?
Hahah unaona kwanza wanataka kukuletea uswahili wa ulozi wakati hizo zama ushatoka kitambo.

Inabidi apambane na hawa waswahili wa huku, Like dissolve like.
 
Hahah unaona kwanza wanataka kukuletea uswahili wa ulozi wakati hizo zama ushatoka kitambo.

Inabidi apambane na hawa waswahili wa huku.
Dah,

Nimepata mtihani sana. Mwali namtaka, madogoli na ulozi sitaki.

Nimempanga mpaka shemeji dada mkubwa awaonye lakini naona bado tu!

Tutayajenga tu.
 
uduguu nimechekaa nimejambaa "mbuuuu"

Udugu nati hazikazi, unajambaje sasa?!!


Mimi shem kashanihakikishia yule boss swahiba wake na mimi swagger zangu hachomoki lazima nimpate tu


Aje awekeze Makolo fc na kina Mbappe wote waje kucheza msimbazi eboooh!!!
 
Aah mwanangu mwenyewe wa magurudumu


Sema nin, me skuharibii bana, ngoja nikuwekee mazingira sawa.

Oya cocastic mwamba mwenyewe huyu hapa, achana na kiranga.

Penda vya nyumbani
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Dah umenifanya nicheke kwa sauti wachumba wenyew wanabaguliwa 🙄
 
Mipira ten ya nini hiyo🤣
 
Fitna tumezimaliza, asante dada mkubwa.

Sasa naomba nisaidie nimesikia wadogo zako wananifanyia ulozi.

Mimi sipendi mambo hayo, wajiamini tu, tunajenga udugu piga ua galagaza.

Ulozi sipendi.
Ushaanza kulogeka 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…