Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,939
Uyo mama namuelewa sana kama chai vile iliyo tiwa asali....Hahaha mzee wa fursa
Bass tuu ndio ivyo hatak kunielewa kama watumish wanavyo shindwa kumuelewa uncle magu
Uyo mama namuelewa sana kama chai vile iliyo tiwa asali....Hahaha mzee wa fursa
Aaaahmimi ni mzee?aisee wanaonijua wanakucheka,nakuhakikishia mimi ni mdada tu tena wewe pamoja na mleta mada na wengine hampindui kwangu,we si unaona maandishi yangu tu yalivyokupeleka mputamputa siku ya 3 leo,sasa pata picha umenjua
hivi ww joliejolie yukwapi?Uweusi wa chocolate hivi daaaah...mzee anaenda mnara fasta hahaha
Uyo Dada ni mjamzito......... Jilan yangu uyohivi ww joliejolie yukwapi?
yupoo...anapatikana huko wsp tu,sijui jf imemfanya nn ila atarudihivi ww joliejolie yukwapi?
Daaah.... Umeua mkuuBora paja jeusi kuliko ukutane na paja jeupe halaf lina alama nyeusi ya mchubuko karibu na makao makuu ya chama na serikali
Acha utoto wewe!Poleni kwa mapumziko
Niende kwenye Mada husika direct.
Please naomba ieleweke uzi huu haujakusudia kuonyesha shambulio la haibu, ila it's just my opinion.
Kama wasemavyo wahenga "uzuri wa mwanamke huko katika macho ya mwonaji".
Kwa upande wangu demu mwenye mapaja meusi kiukweli hana steem kabisa. Unajua me akiwa anakula vitu laini vya Kati, eneo analolifanyia savey kwa mda mrefu ni kiuno na mapaja ya demu. Sasa katika raha hizi za dunia unakuta demu ana mapaja meusi Kama nywele .
Kitu yenye utamu jamani, ukute kiuno flani hivi na mapaja ya mviringo na rangi ya mtume au light skin flani hivi, ngozi nyororo flani hivi, ukigusa ngozi ya mapaja ukutane na joto lile hadimu.....yaaan Full kuenjoy.
Sasa demu unakuta akisha wekwa sawa ili aliwe, ukiwasha taa unakutana na giza nene kama unaingia shimoni? Khaa
Hongereni team mapaja rangi ya mtume.
Naomba kuwasilisha
Daaah.... Umeua mkuu
Da Vinc watu hawajui upendo kutoka moyoni,muonekano wa nje mda wowote unabadilika,je mleta mada mwanamke wake akiungua paja kiuno atamuacha atamfata mwenye meupe?je akikatwa mapaja napo atamuacha,mapenzi yanatoka moyoni bana muonekane wa nje hauna nafasi zaidi ya matamanioHaijalishi ana rangi ipi.. kama nimempenda baaaasi nitaridhika vyovyote alivyo..
Wenye meusi mko wengi?Acha utoto wewe!
Acha utoto wewe!
Well said amu..Da Vinc watu hawajui upendo kutoka moyoni,muonekano wa nje mda wowote unabadilika,je mleta mada mwanamke wake akiungua paja kiuno atamuacha atamfata mwenye meupe?je akikatwa mapaja napo atamuacha,mapenzi yanatoka moyoni bana muonekane wa nje hauna nafasi zaidi ya matamanio
Nitake radhi asee nakuolea dada yako mimiWenye meusi mko wengi?
Sie wengine tunapenda black mkuu binafsi bora nigegede kitu black original kuliko white ya michirizi.Hehehehe mbona umekuwa mkali?
Kumbe MeNitake radhi asee nakuolea dada yako mimi
UsichukieSie wengine tunapenda black mkuu binafsi bora nigegede kitu black original kuliko white ya michirizi.
Na huwa nachukia kuona watu aina ya mleta mada wanadiss wadada weusi.
Black is African. Be proud of your heritage. Don't trash talk.Kumbe Me
Mbona unapagawa sasa, demu wako atakua mweusi. Aisee noomba radhi
Akiumwa ni hajari mzinganiWell said amu..
Mapenzi yapo moyoni kwa mtu. Ndo maana mm napompenda mtu hua naangalia inner factor zaid. Nikupende kisa una macho mazuri/Umbo zuri ukiumwa au ukapata ajali ya macho nitaendelea kua na wewe..?
Nadhani Vijana tunahitaji Counselling sana. Tunaendeshwa na tamaa ya ngono zaidi ya upendo..
Ila mimba zinatuwezaga aisee,mwanamke mjuaji mjeuri we mpe mimba tuUyo Dada ni mjamzito......... Jilan yangu uyo
( chin ya kapet )