Mdada kaniganda...

Sikia mkuu endesha maisha yako kwa mipango bila hivyo utapata shida sana

ukipata milioni 10 sio lazima ununue gari na sio lazima ujenge
nazani umenielewa
Umeniacha kidogo hapa mkuu. Naomba unipe somo kidogo kuhusu hii uliosema na connection kwa yaliyonitokea
 
Umeniacha kidogo hapa mkuu. Naomba unipe somo kidogo kuhusu hii uliosema na connection kwa yaliyonitokea
Ni kuwa kila kitu kina muda wake na muda ukiwadia vitakuja vyenyewe ila kama uta force kuvipata kuna hasara kubwa utapata hata ukifanikiwa
 
Duuh aisee!! Kumbe yale madawati yanawateja
 
Achana nae mkuu why akupe stress wakati wanawake wanaojielewa wapo wengi tu
 
Mwambie umeathirika
 
Basi itakua alizaliwa na gundi...😇😇
 
Na akugande hivyo hivyo furushi wewe.
 
Mwanakulifaindi mwanakuligeti. Baharia naona umepatikana [emoji16][emoji16][emoji16]

Anzia hapa: Ungekuwa wewe ndiye yeye ungependa nini kifanyike katika hali hii? Jibu utakalolipata ndilo hilo litekeleze [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Furushi kuna muda ninakuelewa.
 
Mkuu kwa POST hii ina maanisha ashaondoka kwako?

Mkuu huyu mwanamke anaonekana ni kahaba wa uswahilini hivyo kaa naye mbali kabisa anakupotezea muda wako na kukufilisi.
Pia nakushauri badilisha ulinzi wa mlango wa nyumba yako au hama kabisa ili asije kukutime akabeba kila kitu ndani.
 
Hama hapo kwako kwa muda chukua vitu muhimu sepa navyo

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…