Mdada kaniganda...

Ungehama na makazi wakati ulipomwambia aende kwao,

lakini na wewe ulianzishaje mahusiano na mtu unaejua hamtafika mbali, umemtumia sahavi unamwaga, unajua umemkosesha wachumba wangapi na kupoteza muda wake , hii dhambi hii.
 
Wakati mnaanza mahusiano, ukimwambia kuwa huna mipango naye unataka kula tu mzigo? Mnatia aibu vijana ni lini mtakua waungwana?
 
Ondokaaa kwani hiyo nyumba umejengaa???? Muachie nyumbaa hamaaa...
 
Weka picha tuone ziba Sura.......labda anaweza kupata sponsor maana wengine tunapenda chura na mahips
 
Sijui kwanini namhurumie huyo demu?

Inaonekane mkuu ulimpa ahadi sio?
 
NI miaka mingapi wanawake wataelewa tofauti ya penzi ya kuolewa na ya kufurahishana? Mbona wao wakitaka wanaondoka na huwezi kumdai chochote ulichogharamia? WAO SASA ANAFANYA HAYA. Wanaume tuweke sawa kwa rAFIKI ZETU WA KIKE juu ya urafiki yasije yakawa haya.
 
Nawe mgande..mgandane mchezo uishe.
 
Police gani hiyo inayotoa hukumu
 
Mkuu uwe unawaambia mapema kuwa all I need is mgegedo,,.

Hayo umeyataka mwenyewe sasa..PAMBANA
 
Unamuonea wivu handsome wa watu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Njoo basi na weww unigande πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰

#YNWA
Mimi ni maskini jeuri, ukileta shobo na mm nafanya hivyo hivyo.

Kama una cha ziada cha kukuganda ntafanya hivyo. Maana na watu wataki
wa wanaona sijakosea kukuganda.

Its better to cry in a mercedes benz than a bicycle
Unamuonea wivu handsome wa watu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Njoo basi na weww unigande πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰

#YNWA
Kama kuna cha tofauti kukuganda sio dhambi.
Hata shetani ataogopa kunipitia.sio yale ya kajamba nani ati na masimango yotee nakuganda akuuuuuh.

Its better to cry in a mercedes benz than a bike.
 
Dah nashukuru.
Vipo vingi sanaa vya kukugandisha, japo uta cry in Range rover...!!!
Uje basi PM huku tunaanze kugandana jamani.
😘😘😘😘

#YNWA
 
Kamdhalilisha mdada wa watu na kumpotezea muda wake kisha anataka kumdump kirahisi namna hiyo! tena huyo mdada anatakiwa amtoe busha jamaa ili ajue kua kuchezea hisia za mtu ni jambo la hatari sana.
Mapenzi hayalazimishwi muda aliompotezea ni upi, mara zote yeye siyo wa kwanza. Hata kama angekuwa amemuoa kama hana mapenzi naye aachane naye
 
Huyo ameandamana hadi nyumbani kwako, amevamia na amekusanyika bila kibali, mchukulie hatua kali za kisheria
 
Unaonekana ni kijana mpoleeeeee.Yamkini hujawahi hata kumkemea kwa lolote,jambo ambalo hata yeye analijua fika na mbaya zaidi anatake advantage ya hulka yako hiyo ya upole.Jifunze kuonesha hisia zako wazi wazi(epuka kuigiza).
 
Jitahidi kula mayai ya kuchemsha kila siku usiku, kula maharage yale mekundu, nyama choma na vitu vya kuleta gesi tumboni.
Hii itakusaidia kutoa harufu ksli usiku.
Kwa muda wa wiki moja atachoka kwa harufu na kuondoka

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Dah nashukuru.
Vipo vingi sanaa vya kukugandisha, japo uta cry in Range rover...!!!
Uje basi PM huku tunaanze kugandana jamani.
😘😘😘😘

#YNWA
Watoto wa jf mna vituko.niheshimu kabla sijakuchapa viboko. Ukaiona range kwenye google ukaja kutest upepoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Watoto wa jf mna vituko.niheshimu kabla sijakuchapa viboko. Ukaiona range kwenye google ukaja kutest upepoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nina Range Rover ya Rohoni na kitandani...!!
Kama vipi nitakuganda wewe tafadhali
❀️❀️❀️
Halafu mi mtu mzima mwenzio.

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…