Starwars91
Member
- Jul 12, 2020
- 52
- 47
- Thread starter
-
- #21
Yan acha tu. Nishawahi kukamata message akiwa anachat na mtu eti sex ilikuwa nzuri. Ni mtu ambaye ni pasua kichwa sana. Mimi nilishashindwa siku nyingi Ila alikuwa ni mtu Wa vurugu tu.Unaposema alikusumbua sana tupe hata mikasa miwili mitatu ukiacha huo wa kutoa ujauzito, ili tujue upande upi wenye makosa.
Mahusiano yenu yana muda gani? Na huyo mwanamke ana miaka mingapi? Katika muda wa hayo mahusiano yenu ni kipindi gani uligundua kua humpendi?Yan acha tu. Nishawahi kukamata message akiwa anachat na mtu eti sex ilikuwa nzuri. Ni mtu ambaye ni pasua kichwa sana. Mimi nilishashindwa siku nyingi Ila alikuwa ni mtu Wa vurugu tu.
Ni mwanamke ambaye tulikuwa na on and off relationship. Almost 2 years. Ni mwanamke ambaye alishazalishwa mtoto mmoja. Alishawah kuolewa akaachika. Ni mtu alikuwa na drama sana. Ashaniambia ana mimba Mara nyingi tu lakin mpaka Leo sijawahi kuona hio mimba. Nilishamchoka lakin sikutaka kumwambia. Kwa hio nikataka tumia gear ya atoke nje ya mji aende kwao ili nimpotezee kabisa. Na mwisho alikuja toa mimba akaniambia eti nimemgombeza mimba ikatoka. Yan kwa kweli hayuko kichwan kwangu kabisa. Nashindwa nimtoe je kwanguMahusiano yenu yana muda gani? Na huyo mwanamke ana miaka mingapi? Katika muda wa hayo mahusiano yenu ni kipindi gani uligundua kua humpendi?
Maswali yamekua mengi lakini point yangu hapa n kuona scenario ipo vp lazima kuna sababu kwanini huyo mwanamke hataki kukuacha, na hio sababu inaweza kua makosa ni yake au yako. Ukinijibu hapa nitapata cha kukushauri.
Yeye ndo alinitoa kwenye mood. Sasa alikuwa ni mtu Wa maigizo tu. Sasa analazimisha kuishi na mimi"Nilikua sijajipanga kuishi na mwanamke kabisa"
Kwa kauli hiyo ina maana huyo mwanamke ulikua unamchezea tuu na kumpotezea muda wake? ulimfanya kua yeye ni wamajaribio? kwanini hukumwambia toka mwanzo? anakuganda coz umempotezea muda wake,
Pambana na hali yako jomba ila usirudie kabisa kucheza na hisia za mtu.
Apambane nae tu hamna namna.Ushampoteza direction mdada wa watu
Alafu unakuta mileage inasoma 26 kilometers daadeq
Hapo mkuu nakuunga mkono kama scenario yenyewe ipo means hadi anaachika kwenye ndoa yake atakua na matatizo, kuna mtu kakushauri hapo fuata ushauri wake,Ni mwanamke ambaye tulikuwa na on and off relationship. Almost 2 years. Ni mwanamke ambaye alishazalishwa mtoto mmoja. Alishawah kuolewa akaachika. Ni mtu alikuwa na drama sana. Ashaniambia ana mimba Mara nyingi tu lakin mpaka Leo sijawahi kuona hio mimba. Nilishamchoka lakin sikutaka kumwambia. Kwa hio nikataka tumia gear ya atoke nje ya mji aende kwao ili nimpotezee kabisa. Na mwisho alikuja toa mimba akaniambia eti nimemgombeza mimba ikatoka. Yan kwa kweli hayuko kichwan kwangu kabisa. Nashindwa nimtoe je kwangu
[emoji1787][emoji1787][emoji28]Hii dunia haiishi vituko ati kakuganda? Kwa lipi la maana ulokuwa nalo? Ni mwanamke gani wa kujidhalilisha hivyo? Kwani ni kilema kusema hawezi kufanya kazi akaishi mwenyewe.
Ulivyojipa sifa ukute unamiliki laptop na smartphone + kuishi chumba kimoja cha 30000
Si kwamba anaenda polisi kushtaki, no dawati la jinsi wana councillors watasaidia kumwambia kwa niaba yake kuwa akitakacho hakiwezekani kwa kulazimisha, hiyo itamfanya iwe safe kwa jamaa sije akapata kesi za uzalilishaji, ni easy tu wale watu waelewa wengi wesha pewa semina za malezi na ushauri tena inatakiwa kwenye dawati awe askari wa kike ita sense sana akizingua watampiga kidogo ka mkwara life litaenda ataondoka, kusema mtu aache geto nyie mna jua kalipiganiaje? Miaka mingapi?Akienda polisi ujue utalipia gharama ya muda wake kwako, hivyo mwambie nakuachia Kila kitu cha humu ndani na mpe kama laki 2 ya mtaji.
Anza maisha Kwa somo lililopita la kutochezea hisia za mwanamke na ukijifanya mjanja utalogwa na uchawi lazima ukufikie au ataku kuua tu!!.
Unamuonea wivu handsome wa watu π π πHii dunia haiishi vituko ati kakuganda? Kwa lipi la maana ulokuwa nalo? Ni mwanamke gani wa kujidhalilisha hivyo? Kwani ni kilema kusema hawezi kufanya kazi akaishi mwenyewe.
Ulivyojipa sifa ukute unamiliki laptop na smartphone + kuishi chumba kimoja cha 30000