Mdada huyu anantakia nini..??

jambo1

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2009
Posts
241
Reaction score
29
Heshima kwenu wakuu..!
Niliwahi kuandika post hapa kuhusu mdada mmoja niliyekuwa simuelewi..ilisomeka Hivi kwa nini wadada mpo hivi..?..
Kama mtoto wa kiume nilichukua uamuzi mgumu nikafuta namba zake zote..juzi kati nikaona request Facebook ya mdada nikaccept..,leo nakuta message ati anasema.."...mbona ckuhiz haunitumii tena sms au ndo umesusa?"..sijamjua kama ni yeye but one of our commmon friend ndo akaniambia kuwa ni yeye anatumia jina lingine..nikastaajabu ya Mussa..wadau nimjibu nini..anania gani na mimi..au ndo kafungua mlango...!
Heshima kwenu wote wakuu..!
 
Eeeh... Umeshafunguliwa mlango.. Unataka kuingia??
 
Kumbe swali nkajua unahitaji ushauri.....!!!
haya poa mida.....
 
Mbona siku hizi hauingii JF au ndio umeisusa?

 
Kwanza ukiangalia hii thread Hivi kwa nini wadada mpo hivi..? inaonyesha dhahiri wewe ni mdhaifu yaani unaogopa kuongea na huyo mwanamke live live mpaka utumie simu.
Ukija kwenye hii thread ya leo ambayo unajitia ni kidume wa ukweli ambaye ulichukua maamuzi magumu,
sidhani kama kuna maamuzi yoyote magumu ambayo umechukua kwani kufuta namba ya mtu sio maamuzi magumu.
 
system is now ready...

halafu wewe kijana acha utoto! yaani unaogopa kum-face mwanamke! aisee wewe wa ajabu! ungekuwa kitumbua ningekutafuna sasa hivi! acha kuleta threads za kitoto au ndo umeona mwezi mchanga jana!

system busy...try again later...
 

yaani kwa scenario kma hizi hata Klein wangu anazing'amua.
hapa ungekuta ameshaniambia ""mama nataka kuposa""
 
jambo1 nimesoma link ya uzi wa kwanza na huu nikagundua mpaka hapo bado ni mdogo hivyo unahitaji muda kidogo mpaka uje uzoee mikimiki ya wanawake.

Kiujumla ni hivi, huyo mwanamke kwa uzoefu wangu ana mwanaume mwingine ambaye ndiye target lake bila ya shaka aidha kwa fedha au maisha kiujumla na hataki kumuudhi.

Kama angekuwa mtu ambaye hana wake au angekuwa ni mtu anayekupa consideration asinge kublack list!!! Hii ni dalili tosha sana kuwa bado hujawa choice yake na kama message zako alikuwa anakujibu ili kukuridhisha.

Halafu kitendo cha kutumiwa message cha kukuuliza umesusa ni kama mtego tu. Inawezekana huko aliko mambo siyo kihivyo na sasa anataka kujifanya kukumbuka!!!

Kama ni yeye kweli accept request yake halafu muulize swali moja tu, je umeshanitoa kwenye blacklist yako????? Akikujibu bado mwambie siwezi kuwa na rafiki ambaye sitakuwa huru, mwambie tutawasiliana siku ukinitoa kwenye hiyo orodha ya blacklist hapo nitaanza kuamini kuwa upo serious na request yangu.

Baada ya hapi unabidi uwe makini sana kumchunguza ili kama ikitokea akawa rafiki yako ujue una deal na mtu wa aina gani ili kukupunguzia pressure.
 
Last edited by a moderator:
Mbona siku hizi hauingii JF au ndio umeisusa?

Wewe uliahidi utafungua darasa ili uwasaidie wenye midomo ya gundi kushusha mistari.. Halafu ukawa kimya.. C ndo maana mwenzio akasusa..
 
yaani kwa scenario kma hizi hata Klein wangu anazing'amua.
hapa ungekuta ameshaniambia ""mama nataka kuposa""
mtoto wa sekondari anataka kuposa?! unataka cheo cha bibi kabla hajafika university lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…