gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,720
mtoto wa sekondari anataka kuposa?! unataka cheo cha bibi kabla hajafika university lol
that is to show him how childish the topic is.
mtoto wa sekondari anataka kuposa?! unataka cheo cha bibi kabla hajafika university lol
Heshima kwenu wakuu..!
Niliwahi kuandika post hapa kuhusu mdada mmoja niliyekuwa simuelewi..ilisomeka Hivi kwa nini wadada mpo hivi..?..
Kama mtoto wa kiume nilichukua uamuzi mgumu nikafuta namba zake zote..juzi kati nikaona request Facebook ya mdada nikaccept..,leo nakuta message ati anasema.."...mbona ckuhiz haunitumii tena sms au ndo umesusa?"..sijamjua kama ni yeye but one of our commmon friend ndo akaniambia kuwa ni yeye anatumia jina lingine..nikastaajabu ya Mussa..wadau nimjibu nini..anania gani na mimi..au ndo kafungua mlango...!
Heshima kwenu wote wakuu..!
Wewe uliahidi utafungua darasa ili uwasaidie wenye midomo ya gundi kushusha mistari.. Halafu ukawa kimya.. C ndo maana mwenzio akasusa..