Hapo kwenye Red nakuunga mikono na miguu yote miwili, huyu atakuwa hajakamilika kuwa mwanaume, ni mwanaume suruali, kama unashindwa kusolve issue zako mwenyewe unaleta hapa Jamvini , its Hopeless kabisaaaaaaaaaa!Yezakuwa ni kweli jamaaa anasumbuliwa,na yezakuwa mrembo kafall......ila jamaa imekwenda damn low,because a gentlemen dont expose such things,he just sort them out by himself gently!
Huyu huyu Good Guy nnaemjua mie ndo unamuita huku MMU!!!!
haezi kuja, nipe tu ujumbe nimpelekee........
Habarini za jioni. Ninaomba niwakilishe hii wakuu! Kuna dada mmoja hapa jamii forum ananisumbua sana jamani. Tulifahamia humu humu. Tukawa tunachati. Kwa kuwa wote tunaishi Dar. Tukapanga kuonana kama marafiki wa kawaida tu. Tulipoonana nilimfahamisha zaidi kuhusu mimi kuwa nimeoa na ni na familia. Kuanzia anione ndiyo imekuwa matatizo. Meseji kila leo. Eti anasema ananipenda sana. Nikimkumbusha kuwa nimeoa ananiambia yupo tayari hata kuwa kimada. Eti anasema nausumbua moyo wake kwani tangu aliponoona anaona kuwa mimi ningemfaa hata kama nimeoa. Kihakika huyo mdada ni mzuri. Sipendi kutaja jina maana ni mtu maalufu sana hapa JF. Kwa kweli ameniganda kwelikweli. Nifanyenyeje jamani. Naomba ushauri.
hahah wewe kwa nn nicfike huku bna, me sifikaki jukwaa 1 tu, lile jukwaa chafu la kule chini kabsa :evil: ! kwingine huku nipo chini chini 2 kama spy salt.
wanaume tupo wengi namna hii we unakumbatia midoli!
Cheki huyu! Kwa hiyo kwa nini unakumbatia midoli!? Mwambie rafiki yako asirudie tabia yake kwani sitamvumilia tena. Mambo yote yatawekwa adharani.lala shost. mi hapa sina usingizi. nimekumbatia midoli weee hadi nimechoka ila wapi!! nimeona niingie jf nikumbatiane na vivuli. lol