Mdada huyu ananisumbua

Haya ni mambo ya kale kabisa!
Hivi mbona ulipokuwa mna wasiliana pm haukusema hapa? Mlivyo panga kuonana haukusema hapa?
Bila shaka una tatizo kabisa!



Kwa hiyo unataka kutwambia amekuzidi ujanja hadi uje kutwambia hapa?bila shaka kuna kitu unatafuta kukiona hapa!


Hakika kila mtu anaweza kuwa mwana ndoa!
 

Zaa naye.
 
hata urembe namna gani ila mwisho wa siku ukumbuke kuwa utakapolala nae ujue tayari umefanya uzinzi.achana nae men.
 
sasa unataka tukusaidie nini kwani hujijui kuwa we mume wa mtu??!
 
this is childish now...
jiheshimu basi....na waheshimu watu hapa
weather ni true au umetunga....ni 'upumbavu mtupu kuja na thread hii'

Ni kweli boss wangu..huyu analeta utoto...kwanza aliyataka mwenyewe mtu umeoa kiranga cha nini kuzoeana na wadada...
 
Huyu jamaa kwakweli kashindwa kujiheshimu kabisa!

Yezakuwa ni kweli jamaaa anasumbuliwa,na yezakuwa mrembo kafall......ila jamaa imekwenda damn low,because a gentlemen dont expose such things,he just sort them out by himself gently!
 
Bado utunzi haujaweza, endelea kufanya mazoez mkuu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Nani alimuanza mwenzie!huoni kuwa umeleta mada hii kumsuta!!vp naye akiamusha mashetani yake!!
 
kata mawasiliano naye!akikutext au akikucall unapiga kimya,no private msg no what atakata tamaa!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…