Mda wakwenda nyumbani ulkuwa umefika!!!

Mda wakwenda nyumbani ulkuwa umefika!!!

Murano

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
2,056
Reaction score
1,128
Mda wakwenda nyumbani ulkuwa
umefika,mwalimu
akasema:yeyote atakaye jibu
swali langu lolote kwa usahìhi ata
ondoka acye jibu atabaki.,dogo
mmoja akatupa begi nje ya
dirisha.Mwalimu akauliza nan
katupa ilo begi nje?Dogo akajibu
fasta mimi.Akafungua mlango
akaenda kwao.

neno moja kwa dogo
 
Mda wakwenda nyumbani ulkuwa
umefika,mwalimu
akasema:yeyote atakaye jibu
swali langu lolote kwa usahìhi ata
ondoka acye jibu atabaki.,dogo
mmoja akatupa begi nje ya
dirisha.Mwalimu akauliza nan
katupa ilo begi nje?Dogo akajibu
fasta mimi.Akafungua mlango
akaenda kwao.

neno moja kwa dogo
mjanja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom