MDA wa kulala: Changamoto za kushea Kitanda kimoja

MDA wa kulala: Changamoto za kushea Kitanda kimoja

Mi hata kama nimechoka vipi nikienda kitandani kupumzika na Mwenza wangu lazima kimoja nimpe cha kuendelea kutunza Heshima ya kua mimi ni Mme wake
Wee jamaa wewe....[emoji2]
IMG_20210928_094301.jpg
 
Kutokuoga aaagh kuna wana anaweza fikia geto siku mbili tatu,hadi unaanza kuchukia uwepo wake.
 
Kutokuoga aaagh kuna wana anaweza fikia geto siku mbili tatu,hadi unaanza kuchukia uwepo wake.
[emoji23][emoji23][emoji23]that's too much, msimu wenyewe wa joto huu
 
Back
Top Bottom