MDA wa kulala: Changamoto za kushea Kitanda kimoja

DeepPond

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
43,321
Reaction score
109,613
Habar zenu wakuu,
Baada ya mihangaiko ya sikU nzima kila mmja wetu Lazima anategemea akapumzike.

Na sehemu nzur ya kuupumzisha mwili, bila shaka kitandani ndo sehemu pendwa zaidi.

Sasa Kuna mda uko kitandani na mwenza wako (anaweza kua Ndugu yako, mpenzi wako, mzazi wako au rafiki yako)

Na umechoka na unahitaji upumzike, Ila ukakumbana na Changamoto zinazopelekea usingizi au mapumziko yako hayo yasifanikiwe Kama ulivotarajia.

Karibuni kwa mjadala,
Tujadili Changamoto tunazokumbana nazo tunaposhea vitanda na watu mbali mbali.
 
Mkuu umekumbuka nini??!!

Mzungu wa 4 🤣🤣
 
Unalala na mtu anatembea kitandani usiku kucha,

Usiku wa manane Unapigwa vipepsi mpaka kunakucha[emoji116]

Kwakwei Ni Changamoto Sana[emoji26]
images-467.jpg
 
Habar zenu wakuu,
Baada ya mihangaiko ya sikU nzima kila mmja wetu Lazima anategemea akapumzike.

Na sehemu nzur ya kuupumzisha mwili, bila shaka kitandani ndo sehemu pendwa zaidi.

Sasa Kuna mda uko kitandani na mwenza wako (anaweza kua Ndugu yako, mpenzi wako, mzazi wako au rafiki yako)

Na umechoka na unahitaji upumzike, Ila ukakumbana na Changamoto zinazopelekea usingizi au mapumziko yako hayo yasifanikiwe Kama ulivotarajia.

Karibuni kwa mjadala,
Tujadili Changamoto tunazokumbana nazo tunaposhea vitanda na watu mbali mbali.
Poor JF, na haya pia yanajadiliwa
 
Mambo ya kushea kitanda na watoto wachanga nako Ni changamoto,

Kuna sikU nliwai kukojolewa mdomoni na mtoto[emoji2]
images-471.jpg
images-470.jpg
 
Back
Top Bottom