Mda huu ni saa ngapi...

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,345
Reaction score
15,852
Mimi hapa ninavyoandika mda huu ni saa saba na dak. 5 za mchana..1.05 pm. Je wewe ni saa ngapi mda huu unavyosoma hii
 
Mkuu, unauliza saa kwani muda haupiti utakuwa pale pale? Unatokea Songea nini? Maana yake unanikumbusha wanavyotoa direction;

Utakweeenda, utakweeenda hadi utakuta nyumbi moja nyeupe karibu na bombi, kuna mtoto analilia tundi ya mpera na mbele yake kuna mti na jogoo ya Mapunda initafuta chakula, na na Bambo anachezee gari hajavaa shati, na mama yaki yuko jikoni anipiki ugali, basi ndio hapo hapo. Bombi hii nyumbi hii.
 
Kwani ni saa ngapi hapo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…