Kwenda mbinguni kwa ndege! gari! baiskeli! hivi unamaanisha nini hasa, naona sijacheka badala yake nashangaa tu!

Kuwa na heshma kwa watumishi wa Mungu. Piga magoti,Tubu.!
Kuna mchungaji alikuwa akihubiri kanisani akisema Mtu atakayetenda mema siku ya kwenda mbinguni atakwenda kwa ndege. Sasa ikafika siku ya kwenda mbinguni, jamaa mmoja akafanikiwa kwenda kwa ndege. Wakiwa wanaendelea na safari jamaa akatazama chini kupitia dirishani, lahaula akamuona mchungaji akiwa anaenda mbinguni kwa GARI. Jamaa akamuuliza mchungaji imekuwaje anakwenda kwa GARI inamaana hakuwa akitenda yale anayohubiri, mchungaji akamjibu afadhali yangu mimi nimepanda gari hebu mtazame Askofu nyuma yangu, alipotizama alimuona Askofu akiwa anakwenda kwa BAISKELI.

wanajifanya hawaelewi nini wakati hayo ni mambo ya fasihi, askofu kwa kutumia baiskeli akifika mbinguni bahati na hata huyo mchungaji anayetumia gari maana mbingu na dunia inasemekana havijagusana sasa kwa gari au baiskeli ni kujitia kizungumkuti
Kuna mchungaji alikuwa akihubiri kanisani akisema Mtu atakayetenda mema siku ya kwenda mbinguni atakwenda kwa ndege. Sasa ikafika siku ya kwenda mbinguni, jamaa mmoja akafanikiwa kwenda kwa ndege. Wakiwa wanaendelea na safari jamaa akatazama chini kupitia dirishani, lahaula akamuona mchungaji akiwa anaenda mbinguni kwa GARI. Jamaa akamuuliza mchungaji imekuwaje anakwenda kwa GARI inamaana hakuwa akitenda yale anayohubiri, mchungaji akamjibu afadhali yangu mimi nimepanda gari hebu mtazame Askofu nyuma yangu, alipotizama alimuona Askofu akiwa anakwenda kwa BAISKELI.
tena sio utani na watumishi wa Mungu, hapa anafanya utani na MUNGU MWENYEWE :A S-fire1: :A S-fire1: :A S-fire1:Kuwa na heshma kwa watumishi wa Mungu. Piga magoti,Tubu.!

sijaleta utani wowote ila nilikuwa nazungumzia watumishi wa MUNGU wanaokwenda kinyume na maneno wayahubiriyo. Hii ni hatari sana endapo mchungaji atakuwa kinyume na hayo maneno yake maana kuna waumini wengine hufuata kile anachotenda. "ole wao wachungaji wanaoharibu kondoo wa marisho yangu asema Bwana"tena sio utani na watumishi wa Mungu, hapa anafanya utani na MUNGU MWENYEWE

sijaleta utani wowote ila nilikuwa nazungumzia watumishi wa MUNGU wanaokwenda kinyume na maneno wayahubiriyo. Hii ni hatari sana endapo mchungaji atakuwa kinyume na hayo maneno yake maana kuna waumini wengine hufuata kile anachotenda. "ole wao wachungaji wanaoharibu kondoo wa marisho yangu asema Bwana"

kwani hakuna watumishi wa MUNGU wanaotenda kinyume na yale wanayoyahubiri?

Kuna mchungaji mmoja alikuwa akihubiri kanisani kuwa watenda dhambi wote huko ahera watalia na kusaga meno kwani kuna mateso makubwa kutokana na matendo yao,kulikuwa na ajuza mmoja kanisani yeye akawa akicheka sana tena kwa nguvu sana ,mchungaji akashangaa ikabidi amuulize vipi yule ajuza akamjibu akisema heri yangu mimi sina meno hivyo hahusiki katika kusaga meno,wote wakacheka kwani ajuza kafurahi yeye hahusiki na kusaga meno.