GE2025 Mchungaji Victoria: Tutapata wapi sadaka mkiandamana? Sisi tunaishi kwa kula sadaka

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,499
"Sisi Tunakula Sadaka, Maisha Yetu ni Sadaka”

Mtumishi wa Mungu Mchungaji Victoria Joseph wa Life Center International Bible College pamoja na wengine wamesema kuwa wao kama viongozi wa dini, endapo amani itatoweka kutokana na kelele za mitandaoni, watakosa sadaka.

Wakizungumza na waandishi wa habari, viongozi hao wamewahimiza Watanzania kujitokeza kwa wingi kupiga kura tarehe 29 Oktoba 2025 kwa maslahi mapana ya nchi, huku wakikemea vikali wale wote wanaotaka kuvuruga amani kwa sababu zao binafsi.

Aidha, wamesisitiza kuwa wataendelea kufanya ibada ili amani iendelee kutawala, kwani maisha yao kwa asilimia kubwa yanategemea sadaka.

Your browser is not able to display this video.
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Heading ingekuwa hao viongoz wa dini wa kanisa hilo.
Huweza sikia major church wakiongea huo utumbo
 
Wakristo ni wapumbavu sana kwenye kuelewa dini ...hadi wametupa lulu zao chini ya nguruwe (wachungaji na mitume feki)matokeo yake hao nguruwe wamezikanyaga na kuwararua
 
Hao wamepewa pesa ili wajidhalilishe!!! kama mwenyewe anakili kwa ulimi wake kuwa anapenda sadaka(hela offcouse) inashindikanaje kwa yeye kuchukua kitu kikubwa kutoka kwa mama la mama? Too good, ni kwamba tushaonywa na yesu mwenyewe coz alijua watu kama hao lazima watakuja tu! Offcourse hao ni miongoni mwa magugu!! October 29 hakuna udini wala nini, TUNAKIWASHA!!
 
Wagalatia hapo klmyaa.Ingekuwa Sheikh na elimu yake ingetajwa.Angeitwa kila aina ya majina.
 
Hawa siyo mtu na mkewe wapo sebleni kwao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…