Mchungaji Rwakatare kudai bilioni 2 kwa kuchafuliwa jina.......

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
203,125
2,000
By DAILY NEWS Reporter, 5th December 2010 @ 12:00, Total Comments: 0, Hits: 57

REV Gertrude Rwakatare of Mikocheni B Assemblies of God, is demanding 2bn/- from KIU newspaper in damages over a false and defamatory story it had published.

In a demand note by Maleta & Ndumbaro Advocates to the publishers-Kiu Investments Limited and the printers, Imprint, the paper is accused of publishing a story which allegedly lowered Rev Rwakatare's reputation in the society.

''On November 26, 2010, your newspaper-Kiu, falsely, maliciously and baselessly published a story under the headline 'Mchungaji Rwakatare Matatani Tena! Ni Kwa Kuongoza Kanisa Bila Ya Kuwa Na Mume', which literary means 'Rev Rwakatare in trouble again! Is for running a church while unmarried,' reads the demand note dated 4th December and signed by the firm's Chief Counsel, Mr Daibu Kambo.

The lawyers say the article was full of lies, malice and was meant to harm and intimidate their client taking into account the reputation she has in the society.

They charge that the article was meant to mislead members of the public to believe that Rev Rwakatare who is also Special Seat MP, was accusing women of running for men in their offices, which she has never said.

''The malicious article was meant to accuse our client of involving the church in advancing her personal agenda on the process of obtaining loans from her loan advancing institution - it was meant to harm our client for treating her as a con person and not one who is out to solve the society's problems,'' reads the demand note.

The lawyers argue that the paper tries to show the public that Rev Rwakatare is a troublemaker and she should not be trusted and in the process shunned by the members of the public.

''Following the false publication, our client's character has been greatly tarnished and the members of the society are now shunning our client by treating her as a person who advances her personal agenda at the expense of the masses''.

The lawyers further claimed that the article had ill motives in nature from the beginning as Rev Rwakatare was never consulted before the story was published as suggested by the media ethics.

They have given the publishers seven days to apologize in the same newspaper and pay the damages, short of which they will go to court.

Apart from being the lead pastor of the church, Rev Rwakatare also owns a chain of St Mary's International Schools scattered in various parts of the country and also runs an orphanage in Dar es Salaam.

This is the second time the paper had found itself in trouble with Rev Rwakatare. Two years ago, she took the paper to the Media Council of Tanzania (MCT) and won the case whereby the editor apologized and pledged not to write lies again against her.
 

Plato

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
420
170
where is any lie here? Whatever said is true.she tarnished her own reputation after bending begging corrupt politics.she is a false prophet
 

Gad ONEYA

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,636
1,195
Kama mch. angewaombea Roho Rtakatifu awashukie waone nuru ya ukweli badala ya kukimbilia mahakamani. Vinginevyo tutaamini kwamba yuko mbali na wasaidizi katika utatu mkuu (i.e Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu) na kaona kimbilio kwa Pilate!
 

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
203,125
2,000
Rwakatare adai fidia ya bil. 2/-


na Mwandishi wetu


amka2.gif
Mchungaji Getrude Rwakatare wa Kanisa la Mikocheni B la Assemblies of God, amelitaka gazeti la KIU kumlipa fidia ya sh bilioni 2, kutokana na kuandika habari ambayo imemshushia hadhi katika jamii. Notisi ya kutaka gazeti hilo lilipe kiasi hicho, imeandikwa na Kampuni ya Mawakili ya Maleta & Ndumbaro ya jijini Dar es Salaam na waliopelekewa ni mmiliki wa gazeti hilo, Kiu Investments Limited na Wachapishaji wa gazeti hilo, Imprint.
"Novemba 26 mwaka 2010, gazeti lako la KIU, lilichapisha habari kwa uongo na kwa makosa na isiyo na ukweli wowote. Habari hiyo ilikuwa na kichwa cha habari cha "Mchungaji Rwakatare Matatani Tena! Ni kwa kuongoza kanisa bila ya kuwa na mume".
Katika notisi hiyo, mawakili hao wametoa siku saba kwa gazeti la KIU, limuombe radhi Mchungaji Rwakatare, kwa kukanusha habari hiyo pamoja na kumlipa fidia hiyo, vinginevyo watalishtaki mahakamani.
Mawakili hao wamesema habari hiyo, ililenga kuipotosha jamii na kuifanya iamini kuwa Mchungaji Rwakatare alikuwa akiwashutumu wanawake kwenda kwenye ofisi za wanaume kuomba mikopo, kitu ambacho Mchungaji Rwakatare hajawahi kufanya.
"Habari hiyo ilikuwa imejaa uongo na upotoshaji; na ililenga kuharibu heshima na hadhi ya mteja wetu na kumletea usumbufu, hasa ukizingatia hadhi kubwa aliyonayo katika jamii," ilieleza barua hiyo ya mawakili.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom