Mchungaji Peter Msigwa anapokuwa kama mnyama pimbi

kamati ya ufundi

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2014
Posts
416
Reaction score
441
*MCHUNGAJI PETER MSIGWA ANAPOKUWA KAMA MNYAMA PIMBI*

Unamjua Pimbi? Kwa kiingereza anaitwa Hyrax, Ni mnyama mwenye harakati nyingi zisizo na maana (busy for nothing), Anaweza kutoka mkuku kwenye pori moja kwenda jingine akifika huko analala, halafu anarudi tena mkuku.

Hakuna alichoenda kufanya ni kuamua kujichosha tu, nimemwona Twitter eti na yeye kajitokeza kuandika nimecheka sana!!

Peter Msigwa naye sasa kwa matendo yake kawa kama mnyama pimbi katika harakati kubwa na muhimu zinazofanywa na Rais Magufuli nchini ili kufanikisha uchumi imara Wa wananchi kupitia viwanda yeye eti bado anapuuza juhudi hizi.

Yaaani huyu Mbunge dangu ajue vidada kalewa kabisa Dini mfukoni Sasa, nimeona kaandika eti wafanyabiashara wasusiwe bidhaa zao wananchi wasinunue kwa kuwa wanaunga mkono ukandamizwaji Wa demokrasia, Huyu kweli hana tofauti na pimbi kwani lile gari analotumia alitengeneza yeye au alinunua kwa wafanyabiashara, hivi ule ugali anaokula nyumbani kwake huyu pimbi sembe hakununua kwa wafanyabiashara, hatimaye baada ya kimya kirefi pimbi Msigwa akachomoka kutoka kwenye pori la kukaa kimya muda mrefu bila hoja Sasa kaamua maskini Wa Mungu kupinga juhudi za kutetea wanyonge.

Ni wazi kuwa hataki wakulima wake pale Mtaa wa Mawelewe wakishalima basi wampe Yale Mazao sio kuuza kwa wafanyabiashara kupitia viwanda vya usindikaji....!

Baada ya kujipumzisha katika pori la utetezi bila kuona mafanikio yoyote sasa amekurupuka na kurejea kwenye KUNDI la awali kuwadanganya wahuni wake kuwa wawapinge wafanyabiashara, Kweli nimekubali pimbi ni mnyama mjinga kuliko wote Duniani.

Pimbi Msigwa, alienda Pori la Nairobi akatukana serikali weeeeeee akidai kuwa eti viongozi wake na wabunge hawajaenda kumwona Lissu nimeamini Pindi Msigwa alikuwa na unafiki wa kiwango cha juu sana alishindwaje kwenda kumpa pole kiongozi wake aliyechomewa na kubomolewa nyumba yake. Tena ni mkazi wa jimbo lake kabisa ila Leo anapinga juhudi za Rais eti tusinunue bidhaa za wafanyabiashara Tobaaaaaa ...!

Roho ya uchungaji ipo wapi au ndio Upimbi umetawala...?
 
Msigwa ni mchungaji wa nguruwe hahahaha
 
  • Thanks
Reactions: UCD

Hivi moderators mko wapi mfungie threads kama hizi za kipuuzi! Ww mtoa thread ni mpumbavu tena hayawani mkubwa ww! Siku zote habari zako ni za kukashifu watu wengine! Wewe tope kweli ww
 
Ukiwa CCM ukubali kuwa mpumbafu, huoni harakati za Mchungaji zinavyozibitiwa na Polisi, wawape uwanja sawa uone kama CCM wako wote wa Iringa wataona ndani kwa Msigwa mmoja tu
 
Hivi moderators mko wapi mfungie threads kama hizi za kipuuzi! Ww mtoa thread ni mpumbavu tena hayawani mkubwa ww! Siku zote habari zako ni za kukashifu watu wengine! Wewe tope kweli ww
Wewe hapo umefanyanini?? Si hata wewe umemkashifu mtoa mada?
 
*MCHUNGAJI PETER MSIGWA ANAPOKUWA KAMA MNYAMA PIMBI*

Unamjua Pimbi? Kwa kiingereza anaitwa Hyrax, Ni mnyama mwenye harakati nyingi zisizo na maana (busy for nothing), Anaweza kutoka mkuku kwenye pori moja kwenda jingine akifika huko analala, halafu anarudi tena mkuku.

Hakuna alichoenda kufanya ni kuamua kujichosha tu, nimemwona Twitter eti na yeye kajitokeza kuandika nimecheka sana!!

Peter Msigwa naye sasa kwa matendo yake kawa kama mnyama pimbi katika harakati kubwa na muhimu zinazofanywa na Rais Magufuli nchini ili kufanikisha uchumi imara Wa wananchi kupitia viwanda yeye eti bado anapuuza juhudi hizi.

Yaaani huyu Mbunge dangu ajue vidada kalewa kabisa Dini mfukoni Sasa, nimeona kaandika eti wafanyabiashara wasusiwe bidhaa zao wananchi wasinunue kwa kuwa wanaunga mkono ukandamizwaji Wa demokrasia, Huyu kweli hana tofauti na pimbi kwani lile gari analotumia alitengeneza yeye au alinunua kwa wafanyabiashara, hivi ule ugali anaokula nyumbani kwake huyu pimbi sembe hakununua kwa wafanyabiashara, hatimaye baada ya kimya kirefi pimbi Msigwa akachomoka kutoka kwenye pori la kukaa kimya muda mrefu bila hoja Sasa kaamua maskini Wa Mungu kupinga juhudi za kutetea wanyonge.

Ni wazi kuwa hataki wakulima wake pale Mtaa wa Mawelewe wakishalima basi wampe Yale Mazao sio kuuza kwa wafanyabiashara kupitia viwanda vya usindikaji....!

Baada ya kujipumzisha katika pori la utetezi bila kuona mafanikio yoyote sasa amekurupuka na kurejea kwenye KUNDI la awali kuwadanganya wahuni wake kuwa wawapinge wafanyabiashara, Kweli nimekubali pimbi ni mnyama mjinga kuliko wote Duniani.

Pimbi Msigwa, alienda Pori la Nairobi akatukana serikali weeeeeee akidai kuwa eti viongozi wake na wabunge hawajaenda kumwona Lissu nimeamini Pindi Msigwa alikuwa na unafiki wa kiwango cha juu sana alishindwaje kwenda kumpa pole kiongozi wake aliyechomewa na kubomolewa nyumba yake. Tena ni mkazi wa jimbo lake kabisa ila Leo anapinga juhudi za Rais eti tusinunue bidhaa za wafanyabiashara Tobaaaaaa ...!

Roho ya uchungaji ipo wapi au ndio Upimbi umetawala...?
Mbona unaita wenzako pimbi?ungemjibu vizuri tu kungekuwa na shida gani?huyo kaumbwa na Mungu,unataka kusema Mungu aliumba ma pimbi?au unakosoa uumbaji wa Mungu!na je wewe hukuumbwa kama yeye?basi wewe utakuwa nani?kimbulu au nyani,
Anyway,mimi nikujibu hoja ya kusema serikali inasaidia wanyonge,sijui ni wanyonge gani,labda ungefafanua,maana wanyonge ndiyo wanapata shida,juzi mama mmoja akitoka Geita alipigwa faini ya sh 500000 kwa samaki tisa tu!kuna akina mama wana vyerehani wanajitafutia riziki kwa kushona nguo,nao wanapigwa mifaini utadhani ni wafanyabiashara wakubwa!naunga mkono maendeleo,lakini sikubaliani na unyanyasaji wa namna hii,halafu mnasema eti mnatetea wanyonge!kha!
 
*MCHUNGAJI PETER MSIGWA ANAPOKUWA KAMA MNYAMA PIMBI*

Unamjua Pimbi? Kwa kiingereza anaitwa Hyrax, Ni mnyama mwenye harakati nyingi zisizo na maana (busy for nothing), Anaweza kutoka mkuku kwenye pori moja kwenda jingine akifika huko analala, halafu anarudi tena mkuku.

Hakuna alichoenda kufanya ni kuamua kujichosha tu, nimemwona Twitter eti na yeye kajitokeza kuandika nimecheka sana!!

Peter Msigwa naye sasa kwa matendo yake kawa kama mnyama pimbi katika harakati kubwa na muhimu zinazofanywa na Rais Magufuli nchini ili kufanikisha uchumi imara Wa wananchi kupitia viwanda yeye eti bado anapuuza juhudi hizi.

Yaaani huyu Mbunge dangu ajue vidada kalewa kabisa Dini mfukoni Sasa, nimeona kaandika eti wafanyabiashara wasusiwe bidhaa zao wananchi wasinunue kwa kuwa wanaunga mkono ukandamizwaji Wa demokrasia, Huyu kweli hana tofauti na pimbi kwani lile gari analotumia alitengeneza yeye au alinunua kwa wafanyabiashara, hivi ule ugali anaokula nyumbani kwake huyu pimbi sembe hakununua kwa wafanyabiashara, hatimaye baada ya kimya kirefi pimbi Msigwa akachomoka kutoka kwenye pori la kukaa kimya muda mrefu bila hoja Sasa kaamua maskini Wa Mungu kupinga juhudi za kutetea wanyonge.

Ni wazi kuwa hataki wakulima wake pale Mtaa wa Mawelewe wakishalima basi wampe Yale Mazao sio kuuza kwa wafanyabiashara kupitia viwanda vya usindikaji....!

Baada ya kujipumzisha katika pori la utetezi bila kuona mafanikio yoyote sasa amekurupuka na kurejea kwenye KUNDI la awali kuwadanganya wahuni wake kuwa wawapinge wafanyabiashara, Kweli nimekubali pimbi ni mnyama mjinga kuliko wote Duniani.

Pimbi Msigwa, alienda Pori la Nairobi akatukana serikali weeeeeee akidai kuwa eti viongozi wake na wabunge hawajaenda kumwona Lissu nimeamini Pindi Msigwa alikuwa na unafiki wa kiwango cha juu sana alishindwaje kwenda kumpa pole kiongozi wake aliyechomewa na kubomolewa nyumba yake. Tena ni mkazi wa jimbo lake kabisa ila Leo anapinga juhudi za Rais eti tusinunue bidhaa za wafanyabiashara Tobaaaaaa ...!

Roho ya uchungaji ipo wapi au ndio Upimbi umetawala...?
sasa povu lote hilo la nn? ungeandika ktk mudi ya kawaida usingesomeka mkuu, kwa ulivyoandika naona mkuki wa mh. Msigwa umeingia moyon maana umeandika kinafiki na kwa chuki ya hali ya juu, utamwitaje pimbi mtu ambaye amechaguliwa na maelfu ya wanairinga wakiwemo watu wenye heshima zao na wenye maono makubwa? au ndo tuseme albadir imekukamata?
 
Thread ya pili unafungua ya kuhusu msigwa ya kwanza ya tv imebuma

Kitengo maalumu kipo kazini siasa za majitaka hazina nafasi we gamba subir 2020 mkashirikiane na tume plus polisi saiv huwez kubadili kitu.
 
Harakati za Pimbi! Tehe tehe tehe. Peter Msigwa aka Pimbi the Great.
 
MSIGWA awe PIMBI mara ngapi...

yani hata haihitaji colledge degree kujua kama MSIGWA ni PIMBI

pole sana mkuu kwa kuchelewa kumfahamu PIMBI

endelea kufatilia siasa za tanzania utagundua kuwa kuna PIMBI wengi sana kwenye hiko kiwanda cha SIASA cha tanzania
 
Thread ya pili unafungua ya kuhusu msigwa ya kwanza ya tv imebuma

Kitengo maalumu kipo kazini siasa za majitaka hazina nafasi we gamba subir 2020 mkashirikiane na tume plus polisi saiv huwez kubadili kitu.

harakati nyingine hizi hapa... yani katoka mbio kaenda kwenye profile la jamaa kuangalia history ya thread za mtoa mada alafu karudi mbio tena kuja kueleza hapa

Tuna PIMBI nyingi sana nchini
 
Mchungaji na siasa wapi na wapi kama sio uwakala wa Giza??
 
*MCHUNGAJI PETER MSIGWA ANAPOKUWA KAMA MNYAMA PIMBI*

Unamjua Pimbi? Kwa kiingereza anaitwa Hyrax, Ni mnyama mwenye harakati nyingi zisizo na maana (busy for nothing), Anaweza kutoka mkuku kwenye pori moja kwenda jingine akifika huko analala, halafu anarudi tena mkuku.

Hakuna alichoenda kufanya ni kuamua kujichosha tu, nimemwona Twitter eti na yeye kajitokeza kuandika nimecheka sana!!

Peter Msigwa naye sasa kwa matendo yake kawa kama mnyama pimbi katika harakati kubwa na muhimu zinazofanywa na Rais Magufuli nchini ili kufanikisha uchumi imara Wa wananchi kupitia viwanda yeye eti bado anapuuza juhudi hizi.

Yaaani huyu Mbunge dangu ajue vidada kalewa kabisa Dini mfukoni Sasa, nimeona kaandika eti wafanyabiashara wasusiwe bidhaa zao wananchi wasinunue kwa kuwa wanaunga mkono ukandamizwaji Wa demokrasia, Huyu kweli hana tofauti na pimbi kwani lile gari analotumia alitengeneza yeye au alinunua kwa wafanyabiashara, hivi ule ugali anaokula nyumbani kwake huyu pimbi sembe hakununua kwa wafanyabiashara, hatimaye baada ya kimya kirefi pimbi Msigwa akachomoka kutoka kwenye pori la kukaa kimya muda mrefu bila hoja Sasa kaamua maskini Wa Mungu kupinga juhudi za kutetea wanyonge.

Ni wazi kuwa hataki wakulima wake pale Mtaa wa Mawelewe wakishalima basi wampe Yale Mazao sio kuuza kwa wafanyabiashara kupitia viwanda vya usindikaji....!

Baada ya kujipumzisha katika pori la utetezi bila kuona mafanikio yoyote sasa amekurupuka na kurejea kwenye KUNDI la awali kuwadanganya wahuni wake kuwa wawapinge wafanyabiashara, Kweli nimekubali pimbi ni mnyama mjinga kuliko wote Duniani.

Pimbi Msigwa, alienda Pori la Nairobi akatukana serikali weeeeeee akidai kuwa eti viongozi wake na wabunge hawajaenda kumwona Lissu nimeamini Pindi Msigwa alikuwa na unafiki wa kiwango cha juu sana alishindwaje kwenda kumpa pole kiongozi wake aliyechomewa na kubomolewa nyumba yake. Tena ni mkazi wa jimbo lake kabisa ila Leo anapinga juhudi za Rais eti tusinunue bidhaa za wafanyabiashara Tobaaaaaa ...!

Roho ya uchungaji ipo wapi au ndio Upimbi umetawala...?
Nadhani haupo kamati ya ufundi bali ya ujinga.Hivi ccm imeahindwa kuchukua watu wenye uelewa na mambo kukisemea chama hadi inaamua kubeba takataka kama hizi.
Yaani mpangilio wa matukio zero,ulichoandika na kupost ni mbingu na ardhi.
Sina uhakika kama hata form four ya zamani umefika.Pumba tupu.
Serikali ya viwanda iko wapi kuna kiwanda hata kimoja kimezinduliwa zaidi ya vile vyerehani vinne.Haaaahaaaaahaaaa, i have never seen a stupid leaders as of this cronic party.
 
Back
Top Bottom