Mchungaji Peter Msigwa anapokuwa kama mnyama pimbi

*MCHUNGAJI PETER MSIGWA ANAPOKUWA KAMA MNYAMA PIMBI*

Unamjua Pimbi? Kwa kiingereza anaitwa Hyrax, Ni mnyama mwenye harakati nyingi zisizo na maana (busy for nothing), Anaweza kutoka mkuku kwenye pori moja kwenda jingine akifika huko analala, halafu anarudi tena mkuku.

Hakuna alichoenda kufanya ni kuamua kujichosha tu, nimemwona Twitter eti na yeye kajitokeza kuandika nimecheka sana!!

Peter Msigwa naye sasa kwa matendo yake kawa kama mnyama pimbi katika harakati kubwa na muhimu zinazofanywa na Rais Magufuli nchini ili kufanikisha uchumi imara Wa wananchi kupitia viwanda yeye eti bado anapuuza juhudi hizi.

Yaaani huyu Mbunge dangu ajue vidada kalewa kabisa Dini mfukoni Sasa, nimeona kaandika eti wafanyabiashara wasusiwe bidhaa zao wananchi wasinunue kwa kuwa wanaunga mkono ukandamizwaji Wa demokrasia, Huyu kweli hana tofauti na pimbi kwani lile gari analotumia alitengeneza yeye au alinunua kwa wafanyabiashara, hivi ule ugali anaokula nyumbani kwake huyu pimbi sembe hakununua kwa wafanyabiashara, hatimaye baada ya kimya kirefi pimbi Msigwa akachomoka kutoka kwenye pori la kukaa kimya muda mrefu bila hoja Sasa kaamua maskini Wa Mungu kupinga juhudi za kutetea wanyonge.

Ni wazi kuwa hataki wakulima wake pale Mtaa wa Mawelewe wakishalima basi wampe Yale Mazao sio kuuza kwa wafanyabiashara kupitia viwanda vya usindikaji....!

Baada ya kujipumzisha katika pori la utetezi bila kuona mafanikio yoyote sasa amekurupuka na kurejea kwenye KUNDI la awali kuwadanganya wahuni wake kuwa wawapinge wafanyabiashara, Kweli nimekubali pimbi ni mnyama mjinga kuliko wote Duniani.

Pimbi Msigwa, alienda Pori la Nairobi akatukana serikali weeeeeee akidai kuwa eti viongozi wake na wabunge hawajaenda kumwona Lissu nimeamini Pindi Msigwa alikuwa na unafiki wa kiwango cha juu sana alishindwaje kwenda kumpa pole kiongozi wake aliyechomewa na kubomolewa nyumba yake. Tena ni mkazi wa jimbo lake kabisa ila Leo anapinga juhudi za Rais eti tusinunue bidhaa za wafanyabiashara Tobaaaaaa ...!

Roho ya uchungaji ipo wapi au ndio Upimbi umetawala...?
Nimecheka mpak basi aisee..unajua mi mwenyewe kale kajamaa ni kama sikaelewagi hata kanasimamiaga nini.kakianza kulalamika mpaka unakashangaa.
 
Hivi moderators mko wapi mfungie threads kama hizi za kipuuzi! Ww mtoa thread ni mpumbavu tena hayawani mkubwa ww! Siku zote habari zako ni za kukashifu watu wengine! Wewe tope kweli ww
Hata aliyemkashifu amezoea kukashifu wengine tena kijinga kabisa hufanya hivyo mitandaoni na kule bungeni,so usikasirike jombaa
 
Back
Top Bottom