Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Aliyekuwa Mbunge wa Iringa Mjini 2010 - 2020 Mchungaji Peter Msigwa amechukua fomu za kugombea Ubunge Jimbo la Iringa Mjini katika ofisi za CCM wilaya na kukabidhiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Iringa mjini Hassan Makoba.
Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa fomu Mchungaji Msigwa alisema kuwa jimbo la Iringa mjini linahitaji kiongozi ambaye ataweza wasemea wananchi katika changamoto ambazo wanakabiliana nazo.
Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa fomu Mchungaji Msigwa alisema kuwa jimbo la Iringa mjini linahitaji kiongozi ambaye ataweza wasemea wananchi katika changamoto ambazo wanakabiliana nazo.