Everything is a business. Kuna ambalo huwa halifanyiki mtu akifa hapo. Kuna wachonga jeneza, wauza mbao, wauza vitambaa, marumaru, cement, maua ya mataji, mishumaa, Michele nyama n.k.
Uko sahihi, msiba wowote biashara inafanyika utake usitake
Labda tutoke kwenye masuala na hisia za corona...… Mbunge akifa huku bado ni mbunge huwa anazikwaje? Na familia huku serikali ikishiriki au na serikali? Wanajeshi wakifa akiwa vitani… sijui ndio maana nauliza
Ndg yangu Mj1 kuna taratibu nyingi zimebadilika hawamu hii hususan kipindi hiki cha janga la corona. Mwenyewe najiuliza maswali kama hayo yakwako sipati jibu na wanaonijibu ndo wanazidi kunichanganya kabisaaa.