Mchungaji na Mbunge Getrude Rwakatare azikwa na Serikali kanisani kwake (Mlima wa Moto) na watu wasiozidi 10

Hivi kuna msiba wowote kwa wakati huu ambao serikali haihusiki kuzika? Labda kwa kuwa wanazingatia kuzuia msongamano/mkusanyiko…..wakiwaachia ndugu wazike ndugu wana uwezo wa kuzuia watu wasije kumzika mpendwa wao?...… Sidhani kama kuzikwa na serikali kunamaanisha ni corona case.
Wangelisema mapema kusingekuwepo na miguno, mara watu wazikwe usiku wa manane, kwann usiku wa manane?
 
  • Thanks
Reactions: Mj1
Hivi hao watu 12 waliokuwepo kwenye mazishi hawakuaga, kwa maana ya kufunua jeneza na kila mmoja kupita kuaga kwa kuangalia sura yake?

Sent
 
Ndo maisha yalivyo wanae wanalia hugo Domingo anapiga mahesabu ya kuplan mazishi yatakuwaje.
Pole mkuu.
Hii dunia tunategemea.
Wauza maua wa pale oysterbay au namanga nao wamekosa chao.
Hii nikukosa ubinaadam kabisa,MTU amefariki unampigia hesabu ya fedha na watu kunufaika!!
 
Ng'wanamalundi, Sahihi mkuu huu msiba ungeendeshwa kwa kama kawaida pasipo kudhibiti wingi wa waombolezaji kuna watu humu wangekuja na uzi wa kulaumu serikali kwa kutokuwa makini kwa sababu imeruhusu mkusanyiko mkubwa bila tahadhari ya corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sahihi mkuu huu msiba ungeendeshwa kwa kama kawaida pasipo kudhibiti wingi wa waombolezaji kuna watu humu wangekuja na uzi wa kulaumu serikali kwa kutokuwa makini kwa sababu imeruhusu mkusanyiko mkubwa bila tahadhari ya corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha wewe, huko kwenye ibada za makanisa kuna udhibiti gani wa watu? Kwanini iwe hapo kwenye kuzika tu? Unatumia kiungo gani kufikiri jinga wewe.
 
Back
Top Bottom