Mchungaji na Mbunge Getrude Rwakatare azikwa na Serikali kanisani kwake (Mlima wa Moto) na watu wasiozidi 10

PICHA: Leo Alhamisi April 23,2020 tayari mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum CCM na Mchungaji wa Kanisa la Mlima wa Moto Askofu Gertrude Rwakatare umepumzishwa kwenye eneo la kanisa la Mlima wa Moto huku mazishi yakihudhuriwa na Watu wachache kama taratibu za Kiserikali zilivyoshauri.
#RIPMamaYetu 🙏w
 
Ila Corona ni kiboko.
Fikiria huu msiba wa mama corona isingekuwepo.
Watu wa maua wangeuza sana maua.
Watu wa chakula.
Watu wa magari na kampuni za mazishi.
Wauza nguo sare za kina mama.
Waandishi wa habari.
Watu wa kuplan mazishi.
Wote hao wamekosa hela.
Huu mji ungekuwa na heka.
Mikocheni B mtaa ungefungwa.
Naimani wasingesafirisha Bukoba lakini wadau kutoka pembe za dunia na wale wanaijeria ingekuwa hapatoshi.
Corona hii jamaniiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…