Mchungaji Mwingine Avamiwa Zanzibar

Mchungaji Mwingine Avamiwa Zanzibar

Status
Not open for further replies.
Muslim are very funny, anawaita wasio waislam kafir, wakati huo huo saa aliyovaa imegunduliwa na kafir, kompyuta yake imetengenezwa na kafir, chupi yake made in kafir country, nguo yake made in kafir,gari yake imegunduliwa na kafir, kibaya zaidi kipaza sauti anachotumia shekhe wake kimegunduliwa na kafir, bulb za kwenye msikiti ziligunduliwa na kafir. Very interesting saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana

We mkulima unajua maana ya MGUNDUZI WEWE!?
Au unaropoka tu!

Hebu ondoa uchafu jukwaani!
Mitoto shule haijaenda! Lkn midomo mireefu kama waimba taarabu!

We huna habari hata hii lugha unayotumia hapa bila muislamu kuja nchi kwako. We leo ungekuwa unaonge kikerewe bado?!
Kudadeki, mtoto wa jirani we!
 
Mimi sasa kusajuwa hii Highlander ni ile separist (Znz CCM conservative Cadre) najenga chuki between Pemba na Unguja people sababu hii kitu naitwa Muungano where such people are benefiting and protecting them, these ppl of the kind of Highlander should be expelled from the CCM since they are doing more harm to CCM in Zanzibar politically and socially.

They are against any reforms the party is doing they put Mr. JK in between their dirty politics and games. Recently hii watu nasikia sisi tukanna Judge Warioba. They do a lot of noise against the harmony achieved in Znz through the GNU wich they hate. They are stalwart power hungry filthy ppl who cannot stop from doing any dirty action to meet their ends. Highlander calling humble Pemba people Wahuni does not make you a noble one. You urself seem to be one too. You picked an un confirmed story and could be a false flag story and manipulate it by giving it a religious dimension first and then through usual racist slogan you turned it into a political issue.

YOU ARE A DAMN HYPOCRITE

now this is a better one. you have put fewer insults. take the salute now.... the people of pemba are very humble yes. i agree with you. but they are also hospitable people, very kind and hospitable. but they live in a box, and it is a closed box. the box called islam. anything not islam is bad and they are willing to go to war for it. Pemba is our version of afghanistan. and that has nothing to do with CCM. it has to do with closed minded islam. that is what pemba is-- tanzania's factory of terrorists.
 
Hawa wachungaji na wakristo wao watumie busara, kwa nini ung'ang'anie sehemu ambayo, kwanza sio kwenu, pili hawakutaki ? Ushaona serikali haina uwezo wa kuwalindeni, ondokeni hamtaki, basi mtapopolewa mawe na risasi na acid mpaka mtatia akili. Mi siwaonei huruma kwa kweli.

Tumekang'ang'ania ka Zanzibar kale for no discernible reason, Zanzibar, Zanzibar Zanzibar..... jamani kuna nini Zanzibar cha zaidi, fukwe za bahari? Au mji wa kihistoria? Mji Mkongwe wenyewe umechoka hauna renovations, kuta za majengo zimeota ukurutu nyeusi utadhani zimepakwa solid waste za binadamu. Cha mno nini Zanzibar?
 
Hao waseme tu mahubiri yanavuruga majini yao, kama ni kelele, mbona hawaondoi ma.loud speaker ya msikitini? Wapuuzi sana waisilamu

Acha kuwa mwepesi sana kutukana kwa habari ya kupikwa. Ivi kweli tukio litokee zenj toka tar 11 mpaka leo kuwe hakuna media ya tanzania hata msema kweli ishindwe kuripot ila ije iripotiwe kenya?!!
Kaka kuwatukana waislam kwanza ni nje hata ya mafundisho ya kikristo. Kwa upande wa Imani yako kigezo chako ni Yesu au Shetani? Kama ni Yesu muangalie alikuwa anafanya nini pindi alipotukanwa na waliokuwa wanampinga? Jua kama utakuwa hufati mafunzo ya yesu basi unamfuata shetani na ndiye aliyekupanda na ukaanza kutenda tofauti na mafundisho uyaaminiyo.

Jiepushe sana kutukana kwani kila ulitendalo linaandikwa.
 
Muslim are very funny, anawaita wasio waislam kafir, wakati huo huo saa aliyovaa imegunduliwa na kafir, kompyuta yake imetengenezwa na kafir, chupi yake made in kafir country, nguo yake made in kafir,gari yake imegunduliwa na kafir, kibaya zaidi kipaza sauti anachotumia shekhe wake kimegunduliwa na kafir, bulb za kwenye msikiti ziligunduliwa na kafir. Very interesting saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana

bahati nzuri al-shabab wameshagundua hilo, kwa hiyo wanakataza intaneti, smartphones, TV...
 
wakuu nahisi sote tumevuka mipaka ya mafundisho ya dini zetu,kwa kuwa dini zote hazituruhusu kutukana naomba turejee kwenye njia sahihi.
na pia tuichunguze hii habari je ni kweli au ni fitna tu za majirani tusiwe wepesi wa kutumia hamasa badala kuutafuta ukweli kwanza, hamasa zaweza leta majuto yasiyo na msaada.
 
Muslim are very funny, anawaita wasio waislam kafir, wakati huo huo saa aliyovaa imegunduliwa na kafir, kompyuta yake imetengenezwa na kafir, chupi yake made in kafir country, nguo yake made in kafir,gari yake imegunduliwa na kafir, kibaya zaidi kipaza sauti anachotumia shekhe wake kimegunduliwa na kafir, bulb za kwenye msikiti ziligunduliwa na kafir. Very interesting saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana
vitu vingi wanavyotumia vimetengenezwa na makafiri
mungu katujalia makafir akili bwana, pole yao!!
makafir hoyeeeee!!
 
We mkulima unajua maana ya MGUNDUZI WEWE!?
Au unaropoka tu!

Hebu ondoa uchafu jukwaani!
Mitoto shule haijaenda! Lkn midomo mireefu kama waimba taarabu!

We huna habari hata hii lugha unayotumia hapa bila muislamu kuja nchi kwako. We leo ungekuwa unaonge kikerewe bado?!
Kudadeki, mtoto wa jirani we!

Safi kahtan, nimekugusa, naona hata Nigeria wanaongea Lugha ya Kiswabantu
 
We mkulima unajua maana ya MGUNDUZI WEWE!?
Au unaropoka tu!

Hebu ondoa uchafu jukwaani!
Mitoto shule haijaenda! Lkn midomo mireefu kama waimba taarabu!

We huna habari hata hii lugha unayotumia hapa bila muislamu kuja nchi kwako. We leo ungekuwa unaonge kikerewe bado?!
Kudadeki, mtoto wa jirani we!

Hata hiyo laptop uliyotumia kunitukana iligunduliwa na Kafir
 
Bado pia wamesomea kwenye shule za Makafir, wanachukia kafir lakini wanapenda output zake
hapoooo sasa?!!hawajui kujenga mashule wala
mahospitali,wanatibiwa kwny hospitali zilizojengwa na makafir
wanasoma shule zilizojengwa na makafir,kua kafir raha bwanaaa!!
 
Hata hiyo laptop uliyotumia kunitukana iligunduliwa na Kafir

Teh teh teh!
Naona mzee wa Kakende umetokea tena!

Unajua hili jina lako linanikumbusha hili andiko ambalo limetaja makundi ya watu walemavu ambao NI MARUFUKU KWENDA KANISANI!

Ktk mstari wa 20, Andiko likasema " na aliyevunjika MAKENDE pia asiende Kumlisha mungu!

Sasa usiniulize ni chakula gani mungu wako wa biblia anakula!

Mi hapa nataka kuongelea hako Kakende kako!

MAMBO YA WALAWI 21.

19-au mtu aliyevunjika mguu, au aliyevunjika mkono,-
20-au aliye na kijongo, au aliye kibeti, au aliye na kilema cha jichoni, au aliye na upele, au mwenye buba, au aliyevunjika MA.P.UMBU!

21-mtu awaye yote wa kizazi cha Haruni kuhani aliye na kilema asikaribie kuzisongeza sadaka za Bwana kwa njia ya moto; ana kilema huyo asikaribie kusongeza chakula cha Mungu wake.-

Sasa mkuu Kakende!
hapo Andiko linasema ...na aliyevunjika MA.P.UMBU! Yaani MAKEN.DE!

Sasa kwa sababu wewe huna MAKE.NDE bali una Kakende!

Chunga sana hako Kakende kako kasije KAKAVUNJIKA!

Au na wewe HUWEZI KUMLISHA mungu hicho chakula! ( may be kitimoto! Au mkate wa Azam! I'm not really sure!

Teh teh teh teh!

Kelele nyiiingi kumbe jitu lenyewe lina Kakende kadooogo kama ka paka!

Cc ahmed deedat
 
Last edited by a moderator:
Hao waseme tu mahubiri yanavuruga majini yao, kama ni kelele, mbona hawaondoi ma.loud speaker ya msikitini? Wapuuzi sana waisilamu
Mpuuzi ni wewe unayeabudu sanamu la mbao.
 
We mkulima unajua maana ya MGUNDUZI WEWE!?
Au unaropoka tu!

Hebu ondoa uchafu jukwaani!
Mitoto shule haijaenda! Lkn midomo mireefu kama waimba taarabu!

We huna habari hata hii lugha unayotumia hapa bila muislamu kuja nchi kwako. We leo ungekuwa unaonge kikerewe bado?!
Kudadeki, mtoto wa jirani we!

Pamoja kwamba unatukana kafir, lakini hata wewe nakufahamu vizuri umesomea shule ya Makafir
 
Pamoja kwamba unatukana kafir, lakini hata wewe nakufahamu vizuri umesomea shule ya Makafir

Teh teh teh!
Mi nimesoma shule ya makafiri ili NIWAFAHAMU MAKAFIRI VIZURI!

Na baada ya kuwajua MAANDIKO YAO. NA UDHAIFU WAO!
Siku hizi kila nikijadili na kafiri ni kama nakunywa chai tu!

Teh teh teh!
We kwanza hako Kakende kako umekavisha helmet?
Manake si unajua kakivunjika ni balaa kabisa kwa bwana yesu!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom