Sasha Fierce
JF-Expert Member
- Feb 7, 2009
- 361
- 5
ambapo alijibu kuwa mnamo Februari 16 akiwa nchini Zimbabwe alivamiwa ndani na Joka kubwa aina ya Kobra ambalo lilimgata mguu, lakini hakuweza kupata matibabu kwa siku tatu ingawa alikuwa anakesha na kuomba.
Ni kwanini mnakuwa na imani haba? Yeye aliomba sumu kali ya nyoka SWILA isiwe na madhara juu yake, tatizo liko wapi?
Haya akiyazungumza Kanisani kama kawaida yao watamuamini, kwa nguvu za bwana, aleluja, Ameen.
Kanisani kunavituko vingi zaidi ya hivyo
Msikitini mnazungumza habari za mtume muhamad kuoa mtoto wa miaka sita.
msikitini kutakuwa na vituko zaidi kama maustadhini wenu wataamua kuwapa hadithi zote za mtume wenu feki.