Kikwete bwana....Hivi huyu mtu na nini kichwani? Lazima itungwe sheria ya kufunga marais wanaokiuka sheria ya nchi kwa manufaa yao....na ikibainika walifanya makosa wanyongwe tu.
Nyie hata kama mtajikusanya wote kwenye ukoo wenu hamtafikia akili ya rais kikwete hilo lifahamu kwanza.tumefika hapa kwa sababu ya udhaifu wa kikwete pamoja na wabunge wa ccm
Huna unachokijua we bawacha mambo ya kudandia watu bila hata kujua sheria za nchi zipoje hapa rais kikwete kaingiaje kwani yeye ni polisi au mahakama au ndiyo dj wenu alivyowafundisha hivyo.Kikwete bwana....Hivi huyu mtu na nini kichwani? Lazima itungwe sheria ya kufunga marais wanaokiuka sheria ya nchi kwa manufaa yao....na ikibainika walifanya makosa wanyongwe tu.
Msigwa mburula kweli kachukua picha bavicha wakiwinda kwenye hifadhi zetu yeye analeta siasa zake nyepesi.
Msigwa mburula kweli kachukua picha bavicha wakiwinda kwenye hifadhi zetu yeye analeta siasa zake nyepesi.
Huna unachokijua we bawacha mambo ya kudandia watu bila hata kujua sheria za nchi zipoje hapa rais kikwete kaingiaje kwani yeye ni polisi au mahakama au ndiyo dj wenu alivyowafundisha hivyo.
Nyie hata kama mtajikusanya wote kwenye ukoo wenu hamtafikia akili ya rais kikwete hilo lifahamu kwanza.

Mburula ushindwe kuwa wewe unayepingana na ukweli, picha zimerushwa kupitia Star tv ambayo inamilikiwa na sahara group na Mmiliki wake ni Antony Dialo ambaye ni mwenyekiti wa CCM mkoa wa mwanza, mbunge wa zamani kati ya 1995(mwanza vijijini) mpaka 2010 ilemela. Pia waziri katika serikali ya awamu ya 3. Kama picha za BAVICHA kamuulize aliyeisoma na mhariri aliyeruhusu iende hewani. MSIGWA PIGA KAZI ACHANA NA HAWA WAFUASI WA JANGILI AMBAYE NI KATIBU WA CHAMA.
Tuwe wakweli hile video haina cha maana zaidi ya kuonesha wanyama wakiwindwa na wanyama huwindwa kwa silaha na wale ni wazi wana vibali vya kuwinda.ile video wameshatetemeka wote mpaka raisi wao
Katika ule uwindaji hakuna kilicho kiukwa maana Hata wanyama waliokuwa wana windwa na kupiga ni wanyama wanao ruhusiwa kuwindwa!
Ni wazi wale wawindaji walikuwa wana vibali na Msigwa ana semantics wanyama wana teswa na ameonesha mkanda wawindaji wakiwinda wanyama na wanyama lazima wawindwe kwa kupigwa risasi! Hadi sasa sijajua Msigwa anataka nini kwenye hili na mkanda alio onesha ni wazi wale watu wana vibali vya kuwinda!
Katika hili Msigwa anaweza kuwa
ana potoka na hule si ushahidi wa wanyama kuteswa wale wana windwa!